Kinying'anya cha Pazi Kibasila atembelea Maktaba

Kinying'anya cha Pazi Kibasila atembelea Maktaba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,441
Reaction score
33,998
MAKTABA IMETEMBELEWA NA OMARI KASSIM KIBASILA KINYING'INYA CHA PAZI KIBASILA

Kijana Omari Kassim Kibasila leo ametembelea Maktaba na tumefanya kipindi kuhusu historia ya babu yake ambae umaarufu wake kwa bahati mbaya kuwa ndiye mtawala pekee aliyenyongwa Dar es Salaam.

Pazi Kibasila amenyongwa mwaka wa 1905 na kaburi lake lipo jirani ya ofisi za iliyokuwa Kampuni ya Mabasi ya Taifa, KAMATA (zamani Dar es Salaam Motor Transport (DMT).

Bahati mbaya ya Pazi Kilama ni kuwa ingawa alinyanyua silaha dhidi ya utawala wa Wajerumani pale Vita Vya Maji Maji vilipoanza sehemu za Ngalambe, Kilwa mwaka wa 1905, taarifa za historia ya vita hivi havimtaji popote.

Halikadhalika Makumbusho ya Taifa hakuna mengi kuhusu Pazi Kibasila.

Inasemekana anaeleza kijana Omari Pazi Kibasila kuwa ilichukua kamba nne kumnyonga Pazi Kibasila hadi roho yake kutoka.

1782623642028.png
 
Wewe ni mtu mzima ambae tulitegemea logic inacheza katika fikra zako ila kwa hili nilikuona wewe ni wale wale radicals wa itikadi kali.
👇👇👇
Screenshot_20260628_081729.jpg

👇👇👇
Ebu niambie raisi mkristo yoyote alieawahi kutokea zanzibar na hata hii leo kwa nini wanahakikisha mgombea anaepelekwa zanzibar lazima awe muislam.

Ebu niambie kwanini nchi karibia kumi za kiislam kutanganza ukristo ni kosa la jinai?

Huna majibu ya uhakika ila kuchimba kujua kwa nini nyerere hakuwa na demu wa kiislam ndio utafanya.
 
Huyu Mzee anaendekeza udini tu. Very biased.
Economist,
Mohamed Said mdini kwa kuwa kasahihisha historia iliyomfuta Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika aliyekuwa akiuza kadi za TANU msikitini?

Na Abdulwahid Sykes na mdogo wake Ally wenye kadi za TANU No. 3 na 2?

Na baba yao Kleist Abdallah Sykes Katibu muasisi wa African Association aliyejenga ofisi ya AA mwaka wa 1929.

Na kueleza mengi katika historia ya uhuru wa Tanganyika?

Wewe uliijua historia hii?
 
Mmoja ya Wazee wa hovyo kabisa kutokea Mzizima.
 
Wewe ni mtu mzima ambae tulitegemea logic inacheza katika fikra zako ila kwa hili nilikuona wewe ni wale wale radicals wa itikadi kali.
👇👇👇
View attachment 3617242

👇👇👇
Ebu niambie raisi mkristo yoyote alieawahi kutokea zanzibar na hata hii leo kwa nini wanahakikisha mgombea anaepelekwa zanzibar lazima awe muislam.

Ebu niambie kwanini nchi karibia kumi za kiislam kutanganza ukristo ni kosa la jinai?

Huna majibu ya uhakika ila kuchimba kujua kwa nini nyerere hakuwa na demu wa kiislam ndio utafanya.
Chowkow na maswali ya kipumbavu,
idiotic buffoonery, brain dead mlokole kilaza
Akili imehamia mtaroni,
 
Back
Top Bottom