DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,596
- 3,845
Utapiga yowe wewAhahah😂😂
Utapiga yowe wewAhahah😂😂
Unakitu inabidi usikirizwe😄Kwani uongo? Umesahau Zuchu mpaka alitunga wimbo wa kuwananga watu eti MTASUBIRI SANA. Leo yamemshinda amejitoa mwenyewe kwa MONDI. Usichezee mapenzi bwn. Binadamu ni kiumbe mwenye kigeugeu sana. Leo unajitangazia umempata anayekufaa, kesho unarudi hapa unalialia umetendwa !! Hahahahaha .......
Dili ni sogea tuishi hamna kurasimisha ukiona red flag unatoka speed mwendo wa Ngiri😂😂Eeh mkikutana msukule miwili mambo yataenda, Ila mmoja akiwa mjuaji aah lazima kilio.
Ndio maana hayana formula.
Unakitu ww uwekewe ulinzi piga vita uwabataDili ni sogea tuishi hamna kurasimisha ukiona red flag unatoka speed mwendo wa Ngiri
Hujishangai ulivyo pekeyako na negativity yako🤒😂😂😂.. Anyways kunywa maji nitakuja kulipaSasa yanatuhusu nn sisi mpaka ututa gazie? Una umri gani kwani maana hizi ni za teenagers kuwatangazi watu kuwa sasa umepata mpenzi! Tufanyeje sasa??
🤣🤣🤣Dada mkubwa ana vijimamboEt msukule watu mko na mmbo umu jf
Fanya hivyo ndugu yangu, nakuhurumia sana.Sawa
Stress tu zinakusumbua mkuu... Halafu me mbona naonaga kazi sana kua against wenzangu wakiwa wanafurahi...Kwani uongo? Umesahau Zuchu mpaka alitunga wimbo wa kuwananga watu eti MTASUBIRI SANA. Leo yamemshinda amejitoa mwenyewe kwa MONDI. Usichezee mapenzi bwn. Binadamu ni kiumbe mwenye kigeugeu sana. Leo unajitangazia umempata anayekufaa, kesho unarudi hapa unalialia umetendwa !! Hahahahaha .......
Tumuambie au tumuache kwanza afurahie penzi jipya.Vina mudaaaaa
Kidding!All the best swiriii
Mapenzi ni kitu kizuri sana
Barikiwa sana kiongozi Mjuni Lwambo 💕Fanya hivyo ndugu yangu, nakuhurumia sana.
Mtaachana tuuuuHongera sana Lee,
Love issa very beautiful thing..
Enjoy it to the fullest, Mimi huwa nasema ukipata nafasi ya kufurahi, furahi vya kutosha, achana na khofu ya sijui kesho itakuwaje, hell nuh'..! ya kesho yatajisumbukia..!!
kama unapenda hakikisha sahii unapenda na yako yote, spend hizo unforgettable moments vya kutosha ili siku lolote likitokea japo hatuombei usiwe na majuto ya chochote kile..!!
Amina.Barikiwa sana kiongozi Mjuni Lwambo 💕
Nimekuelewa mkuu 🙏Wewe mwenyewe ndio unatengeneza harmonious feelings kwny kichwa chako,
Hakuna mtu awaye yote anaweza kukupa amani na utilivu, ni kitu unakitengeneza mwenyewe.
Kuingia kwny mahusiano ili kutafuta furaha na utulivu ni makosa.
Unatakiwa kuwa na furaha, amani na utulivu kwanza ndio uingie kwenye mahusiano. Hivi vitu havipatikani kwny mahusiano, vinapatikana kwny moyo na akili ya mtu.
Appreciation postWakipanua si tunaweka