Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Good morning ma lovers,

Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.

Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.

Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌

But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!

I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).

Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️

Muwe na Jumapili iliyo njema.
Go test that dude.. then go even deeper, always loving yourself first.
 
Kwahiyo huu uzi ndio umejibu maombi ya Leejay49
 
huu sasa ndo wakati wa kuomba usijisahau! maana hata waisrael walipovuka bahari wakamtukuza Mungu sana mana aliwatoa utumwani kitu ambacho naamini walikiomba kwa miaka mingi ya maumivu! Ila baada ya siku 2 za kusifu na kuabudu wakaliona jangwa naamini kuna mda walitamani warudi utumwani mana walijikuta wasipopatarajia


Safari ya maisha ni ndefu sana. Wanasema kila hatua dua.
 
Hahahahahahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
Jirani kwanza hongera kwa kumpata daktaree wa moyo na papuchi yako 😜
Umeweza jiraniiiiii 🙌🙌🙌

Ila wambea hujatuambia km huyo shem yupo humu au huko kwa wana wa Israel?? Hili hujaliweka wazi jirani 😂😂😂
Tunaomba kumjua shem ili tusiwe na mazoea naye
 
Jirani kwanza hongera kwa kumpata daktaree wa moyo na papuchi yako 😜
Umeweza jiraniiiiii 🙌🙌🙌

Ila wambea hujatuambia km huyo shem yupo humu au huko kwa wana wa Israel?? Hili hujaliweka wazi jirani 😂😂😂
Tunaomba kumjua shem ili tusiwe na mazoea naye
Hayuko jf jirani 😂😂😂
Halafu umefungiwa wapi sikuizi mbona huonekani
 
Back
Top Bottom