Hatimaye nimempata!

Hatimaye nimempata!

Mkuu mbona unanitisha tena😥😥.. Sikuwahi kua na furaha kama niliyonayo sasa for two years, imagine... Nilikua ni mtu wa kua alone kila mahali, nyumbani, kazini cause sio mtu wa kuvibe na marafiki sana.. But now najiona niko na peace of heart ty tofauti na mwanzo
Peace of mind, au happiness is from within. Hatupaswi kutegemea amani ama furaha kutoka kwa mpenzi.

Hukuwa na furaha na amani kwa sababu unadhani upweke (solitude)ni kitu kibaya na tunatakiwa kuepukana nao.

Unadhani kwamba furaha inapatikana tu kwny mahusiano, kitu ambacho siyo kweli.
 
Wapo wanaopata bahati ya kupendana wote, so wanaenjoyyy
Inatokea lkn nadra sana pia mda mwingine watu wanaweza kujipresent hvo wakaonekana wanapendana sana lkn deep down Kuna Moja ndo kapenda sana ila kwa sababu ya haiba ya kimalezi unakuta wanasitiriana hvo
 
Katika kusitiriana na kuvumiliana ndio real love iko hapo maana hamna mkamilifu n sio muda wote ndani itakua ni vicheko.
 
Peace of mind, au happiness is from within. Hatupaswi kutegemea amani ama furaha kutoka kwa mpenzi.

Hukuwa na furaha na amani kwa sababu unadhani upweke (solitude)ni kitu kibaya na tunatakiwa kuepukana nao.

Unadhani kwamba furaha inapatikana tu kwny mahusiano, kitu ambacho siyo kweli.
Oukay,,, But for me better niwe kwenye mahusiano najiona nakua na utulivu wa mwili na akili, nikiwa alone napata shida sana
 
Katika kusitiriana na kuvumiliana ndio real love iko hapo maana hamna mkamilifu n sio muda wote ndani itakua ni vicheko.
Mda uwe seriously unaambiwa mbn Leo sikuelew ndio na sitaki unielewe kabisaaa🤣🤣umekunja ndita balaaa kumbe una stress zako zakukosa pesa wanaume mtihani wetu ni mgumu mno
 
Back
Top Bottom