Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,923
Kirikou swahiba wako alipigwa na kitu kizito mpk kaomba mods wafute uzi πππππ€£π€£π€£π€£ Break up π
Kirikou swahiba wako alipigwa na kitu kizito mpk kaomba mods wafute uzi πππππ€£π€£π€£π€£ Break up π
ππBado mpango upo, nafanya savings.
Zikitimia mtamuona mtoto wa mama mkwe anameremeta hewani π₯°π₯°
ππNawachangamsha tuu boss.. ujue Leejay49 alinipiga chini, huyu nina bifu nae endlessππ
Ivan, punguza kijiba cha roho ndugu yangu..!!
Jirani uongo hapa kuna page ya jina la shemela umechana ππππHayuko jf jirani πππ
Halafu umefungiwa wapi sikuizi mbona huonekani
Bado weweKirikou swahiba wako alipigwa na kitu kizito mpk kaomba mods wafute uzi ππππ
Nijikaze kisabuni au sio?Hahaha..!!
kashampata wake wa moyo, inabidi ujikaze tu rafiki yangu kwa sasa..!!
Utapata uwe unasocialize na watu mie sipo na nipo yaani huku ukitaja up na mtu wanaharibuHahahahahaha..ni kweli sina baya
ππππ mtasubiri saaaanaaa..!!!Bado wewe
Tatu mzukaπKirikou swahiba wako alipigwa na kitu kizito mpk kaomba mods wafute uzi ππππ
Jirani wa humu mbona nitakufa mapema,, anaweza akarudia kukutongoza mara mbili mbili kwa I'd tofauti πππJirani uongo hapa kuna page ya jina la shemela umechana ππππ
Wambea bado hujatudanganya aiseee..!!
Mi nipo mwingi sema tunapishana jirani!!
Mods wanavuka mipaka kwann wafute uzi ambao mtu anamsifia mpenzi wake πππTatu mzukaπ
Nipo nipo . Nipo gado kabisaaππππ mtasubiri saaaanaaa..!!!
Vuteni viti mkae!! Vipi swahiba upo??
Aaaahhh wee mi kurogwa nilishakataa.Lini sasa utamuandikia uzi dada angu wa kimasai??
ππππ Uongo yupo humu, mpk umelileta hapa basi mlengwa tunaye na ujumbe wake kauona..!!Jirani wa humu mbona nitakufa mapema,, anaweza akarudia kukutongoza mara mbili mbili kwa I'd tofauti πππ