haya mama enjoy good moments anazokupatiaOfcourse yes,, but nitaendelea kuwaogopa hadi lini🤔🤔.. Ni kujivika mabomu tu liwalo na liwe
And that’s it🥰.. One love big ciccy Mama Mwanahaya mama enjoy good moments anazokupatia
Ukishindwa huko tena usikate tamaa,nicheki PM hutojutia.Ofcourse yes,, but nitaendelea kuwaogopa hadi lini🤔🤔.. Ni kujivika mabomu tu liwalo na liwe
Hongera sana kwa kumpata mpenzi mpya unayempenda sana ila nikusihi tu nitaendelea kukaa Sub bila kuchoka hadi ambapo utamu wa penzi lenu jipya utapofifia 😂😂😂 kwa kuwa nina uzoefu wa miaka mingi katika hii tasnia. Ikifikia hatua hio usione aibu we njoo upate liwazo 😁Good morning ma lovers
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke… and finally i Leejay49 nimelishinda hili maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu..( Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa…
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kua i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata.. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana.. Lilikua ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa , yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃.. Lakini gues what limetimia kabla ya wakati
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men.. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali( Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha)
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikua ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana( Na hili halihitaji maelezo)… Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na jumapili iliyo njema
mwache mwenzio kazama penzini 😂trust me usimuamini sana binadam mwenzio kukubadilikia ni jambo la muda tu
Means that Miaka mi2 yote ulikuwa hupati hata wa kuzugia?😳Ndoa bado sijawaza mkuu,. But thank you🥰
Hakina sina cha kuogopa,,, i will be there as soon as possible🤪🥰Hongera sana kwa kumpata mpenzi mpya unayempenda sana ila nikusihi tu nitaendelea kukaa Sub bila kuchoka hadi ambapo utamu wa penzi lenu jipya utapofifia 😂😂😂 kwa kuwa nina uzoefu wa miaka mingi katika hii tasnia. Ikifikia hatua hio usione aibu we njoo upate liwazo 😁
😂😂😂😂😂😂Good morning ma lovers