Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,859
We subiri, safari hii utapigwa tukio hujawahi hata kulisoma hapa JF



We subiri, safari hii utapigwa tukio hujawahi hata kulisoma hapa JF



Mtu unaweza kujitundika hivi hivi unajiona ujue😂😂😂😁🤣🤣😁😁 Mapenzi yalikuwa ya mkataba
Hahahahaha..Rafiki nazimua kwa mangi hapa nisameheRafiki huu uzi unamhusu Leejay ujue😄
Ila mleta mada anasema jamaa yake bado hajaitafuna!Hongera sana Lee,
Love issa very beautiful thing..
Enjoy it to the fullest, Mimi huwa nasema ukipata nafasi ya kufurahi, furahi vya kutosha, achana na khofu ya sijui kesho itakuwaje, hell nuh'..! ya kesho yatajisumbukia..!!
kama unapenda hakikisha sahii unapenda na yako yote, spend hizo unforgettable moments vya kutosha ili siku lolote likitokea japo hatuombei usiwe na majuto ya chochote kile..!!
Hahaa fanya ujiandae uende church rafiki.Hahahahaha..Rafiki nazimua kwa mangi hapa nisamehe
Hahahahaha Rafiki leo nataka niende pale Mkuyuni kwa Tony KapolaHahaa fanya ujiandae uende church rafiki.
Hizo ulizokunywa zinatosha sasa
Hahahahaha..tunasubiri na weweHongera
Ndio kanisa lako la kila siku?Hahahahaha Rafiki leo nataka niende pale Mkuyuni kwa Tony Kapola
Hahahahahaha..mie naenda kusali na kufuata neno..siko huko Rafiki..hayo mambo siyaweziNdio kanisa lako la kila siku?
Au unafata pisi pale, maana we sikuamini😄
Sababu watoto wa pale wamenyooka balaa
Asubuhi hii ndio ujue watu tuhapenda habari kama hz
Naunga mkono hoja 🤣😂🤣🤣🤣😂Mtu unaweza kujitundika hivi hivi unajiona ujue😂😂
Sema penzi jipya linavuruga akili, unajihisi uko heaven
Daaah hii IDAu wamwite Nikifa MkeWangu Asiolewe kama akiwa wa kiume.
Mie nasubiri utangaze nia yupi umemchaguaHahahahaha..tunasubiri na wewe