Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Yeah madhara ya hiyo kitu ni mingi sana mkuu huyo jamaa atakuja hapa baada ya miaka mitatu atatafuta njia ya kuweza kumfanya awe na uwezo wa kuchelewa kufik kileleni .....kutomridhisha mwanamke
Mbon tunatishana sasa mkuu, kwahiyo unashauri nifanyeje?
 
Inabidi ujitolee kweli kweli hapo ushapoteza vingi Sana...!! Low testosterone(hormoni ya kuleta hamu ya tendo kwa mwanaume) adrenal fatigue (tezi lako la adrenal limechoka hivyo halitengenezi tena hormones kwa ufasaha), back pain (mgongo kuuma), poor erection (ukidinda ngoma haisimami Kama msumari inasimama kwa ulege ulege na inalala kwa haraka), poor memory (tatizo la kumbukumbu kwa sababu umeunguza kemikali nyingi Sana za taarifa ubongoni kwenye kujitomba mwenyewe, aceytochloline na dopamine)
Unajua sex is natural but nyeto isnt, nyeto pale unauumiza Sana ubongo kuassume kitu ambacho hakipo.. Laiti ungelijua ulichokifanyia mwili wako ungeacha immediately
Mkuu nimesoma vizuri hii post yako kwanzia leo mimi chaputa basi.
 
Dk 10 zilizopita nimetoka kupiga kimoja, ndiyo nikaona ngoja niangalie mpya ya leo jf nakutana na hii thread!!

Ile kitu wala sina mpango wa kuiacha siku za karibuni

Naeza kukurupuka kitandani saa saba za usiku na nikapiga kimoja cha fasta
Mkuu pitia post ya mkuu hapo chini usipo badilika shauri yako.[emoji116]
Inabidi ujitolee kweli kweli hapo ushapoteza vingi Sana...!! Low testosterone(hormoni ya kuleta hamu ya tendo kwa mwanaume) adrenal fatigue (tezi lako la adrenal limechoka hivyo halitengenezi tena hormones kwa ufasaha), back pain (mgongo kuuma), poor erection (ukidinda ngoma haisimami Kama msumari inasimama kwa ulege ulege na inalala kwa haraka), poor memory (tatizo la kumbukumbu kwa sababu umeunguza kemikali nyingi Sana za taarifa ubongoni kwenye kujitomba mwenyewe, aceytochloline na dopamine)
Unajua sex is natural but nyeto isnt, nyeto pale unauumiza Sana ubongo kuassume kitu ambacho hakipo.. Laiti ungelijua ulichokifanyia mwili wako ungeacha immediately
 
Yaani chama pekee ambacho kinaweza kuitoa CCM madarakani ni CHAPUTA, maana kina wafuasi wengi hakuna mfano. Si wanawake, si wanaume. Hivi kwa nini hiki chama kisisajiliwe kama chama cha siasa.?

Heheeheheehee
 
Back
Top Bottom