Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Kuacha inawezekana.binafsi mwanzo niliona Ni ngumu lkn nilipoweka nia nikaacha toka mwaka Jana mwezi WA 9 mpk Leo.dawa kubwa Ni kuavoid kuangalia porno v.na hakikisha unakuwa Na mwenzi.
 
Mkuu mbona bado hujaacha maana wanasema ukiwa kustop kwa miez 2 tu bac hapo utakuwa umeshaafu kabisa
 
Hizo njia zako unazotumia kuepuka kufanya huo mchezo....hazitofua madaf.....njia ya uhakika ni kurenew your mind.....hata ukiangalia hzo picha Kama umebadilisha fikra zako juu ya hiyo kitu.....hutoifanya....nina uhakika na ninachokisema
 
ma nina mi kila siku nasemwa kukaa choon hovyo sijui ntaacha kasho?
 
Back
Top Bottom