Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa, Cherokee Nina Rotti nk...najua members wa CHAPUTA mnawajua hao ni wasanii wakubwa sana katika tasnia yetu.
Bye bye CHAPUTA.

Update.
Hatimaye nimemaliza mwezi mmoja l bila nyeto japokuwa sio kazi rahisi.
Asanteni wote kwa ushauri wenu.
Mkuu usihesabu miezi bali ishi kawaida tu ukijiweka mbali na vishawishi. Ukitaka kujua kweli kama una nia embu delete lile faili lako lenye best videos ambazo kabla hujafungua uume huwa tayari wima kama roketi za nasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa, Cherokee Nina Rotti nk...najua members wa CHAPUTA mnawajua hao ni wasanii wakubwa sana katika tasnia yetu.
Bye bye CHAPUTA.

Update.
Hatimaye nimemaliza mwezi mmoja l bila nyeto japokuwa sio kazi rahisi.Hongera
Asanteni wote kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom