Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Coke Zero

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
1,024
541
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa, Cherokee Nina Rotti nk...najua members wa CHAPUTA mnawajua hao ni wasanii wakubwa sana katika tasnia yetu.
Bye bye CHAPUTA.

Update.
Hatimaye nimemaliza mwezi mmoja l bila nyeto japokuwa sio kazi rahisi.
Asanteni wote kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom