Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Maisha ni changamoto sana
Sahihi, kuna wakati unapigika kisawasawa. Inafika kipindi huoni pa kushika ni kama mbele kuna ukuta. Ila unajikuta umetoboa kibishi mpaka unashanga imewezekanaje

Na hapo sio mwisho wa hardship mamaé picha linaendelea hivyo hivyo, kupumzika kaburini kmmmk
 
Hakika, ndo maana ambao hawajali she's ujinga wa elimu uchwara wanatamba tu

Knowledge might be a curse too
Knowledge sahihi ni ile inayosababisha utumie siku zako za kuishi ukiwa na amani na furaha siyo mifumo ya kufungwa akili iliyowekwa na wenye akili ili wafurahie maisha kupitia rasilimali unazozikosa kwa kufungwa akili.
 
Aisee, kwanini usitumie muda uliobaki maana kila mtu atakuwa tu kiongozi. Let's live a life to be remembered. Maana nid life crisis ndo inakuja kutuamsha ya kuwa we only have less time in here
Midlife crisis inatukumbusha kuwa maisha hayasubiri mtu. Tatizo ukiwa kwenye 20's unaona una muda wa kutosha. Mara paaap 30s hiyo

Miaka inakimbia, wazazi wanazeeka, marafiki wa karibu wanapotea kila mtu na hustle zake kuna wakati ni kama uko peke yako unapambana

Na ndoto zinaendelea kusogezwa mbele
 
Hapana. Hapo naona bado ndugu.

Mtu ana 40 yrs.
hana nyumba, hana gari, hana mtoto, hana mke/mume, hana hela na hana kazi/biashara nzuri,
Hana mwanamke/mwanaume anayeeleweka.

Alafu Ukiangalia ndugu marafiki na agemate wako. Wako far way better.

kwenye stage hiyo ndio hasa utaelewa mid life crisis.
Unafikiri 30s kwenda 40 ni mbali ndugu?..nilimpata first born nikiwa mid 30s,sasa hivi yuko form one,yaani ni vuup, huwezi amini,nipo mid 40s,naona maisha yashaisha
 
Back
Top Bottom