1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,185
- 14,342
Labda America, lakin ulaya mmmhBongo bahati mbaya,tuongeleeni fursa za kwenda ulaya huko sasa,tukaishi hata Kwa miaka 40+ ilobakia!!!
Labda America, lakin ulaya mmmhBongo bahati mbaya,tuongeleeni fursa za kwenda ulaya huko sasa,tukaishi hata Kwa miaka 40+ ilobakia!!!
Plans na matarajio mengi huleta stress tupu hasa Kwa makapuku. Very true, nitaishi Kwa kinachopatikana kwa mustakabali wa Afya ya akili. Ndio maana unakutana na mtu hujamkosea chochote lkn anakukasirikia tu!That's why unapaswa kuto ishi kwa expectations, Ishi kutokana na kilicho mbele yako. Sometimes it's not our fault but those who led us here. We might be jus t outcomes of a system built by those before us
Daah, so unajua yote hayo?5/100 ndiyo wanamiliki nyumba zao,wengi wana mabilion UTT-AMIS wamehifadhi humo!,kiasi rent is just a peanut money to pay!...(Wanaamini money 💰 is everything wanaweza kulipa rent kwa muda mpaka karne moja bila hofu kabla hawajaenda nunua nyumba CANADA)
Kijana wewe panga ku Hustle maisha yako yote al mradi afya ni njema.Walituambia by 30s tayari tutakuwa na nyumba, gari, mke na watoto.
Kumbe 30s za wazee wako sio kama 30s za leo,
Mtu ana miaka 50s bado anaishi nyumba ya kupanga? 😂
Wazee, we are cooked.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Kweli kabisa love is for, women children and dogs... A man is only respected for what he brings to the table.
Hongera sana kiongoziDah Mungu ni mwema sana sitoacha kumshukru each and every day, sijafika 35 bado ila angalau nina vibanda viwili, kimoja naishi mwenyewe nipo na wife na madogo wawili kimoja nakula kodi mdogo mdogo si haba ukizingatia elimu yenyewe darasa la saba, nawaombea wote ndugu zangu ambao bado tusonge mbele kukata tamaa ni mwiko
Hakika. When the time is right things will fall into placeKijana wewe panga ku Hustle maisha yako yote al mradi afya ni njema.
Babu wa Loliondo alitoboa akiwa mstaafu at 65.
Dogo 30 ni michache Sana ila hakikisha Una family wanapata mahitaji muhimu bila stress.
On point, wahindi wengi bongo wanazikusanya pesa tu halafu wanaenda kununua mijengo US, UK na Canada. wanaojenga bongo ni wachache sana. Na wahindi wengi wana passport na uraia wa nchi mbili hata 3. Mhindi yupo radhi kukaa kwenye maghorofa NHC ya upanga kama njiwa, hata miaka 30 ili tu anunue nyumba ughaibuni na baada ya hio miaka anaishia zake huko US, UK na Canada. Mie nilipofika 30+ na nakuona maisha ya bongo sio kabisa, nillishia zangu US, kutoboa bongo bila connection ya kua chawa wa CCM ni ngumu sana.5/100 ndiyo wanamiliki nyumba zao,wengi wana mabilion UTT-AMIS wamehifadhi humo!,kiasi rent is just a peanut money to pay!...(Wanaamini money 💰 is everything wanaweza kulipa rent kwa muda mpaka karne moja bila hofu kabla hawajaenda nunua nyumba CANADA)
Pokea simu pokea simu mida ya lunch hiiNipo kiluvya now!
How did you get there mkuu, nipe ABC na unapiga issue gani USA.. Hata kwa pm kama hutojali mkuuOn point, wahindi wengi bongo wanazikusanya pesa tu halafu wanaenda kununua mijengo US, UK na Canada. wanaojenga bongo ni wachache sana. Na wahindi wengi wana passport na uraia wa nchi mbili hata 3. Mhindi yupo radhi kukaa kwenye maghorofa NHC ya upanga kama njiwa, hata miaka 30 ili tu anunue nyumba ughaibuni na baada ya hio miaka anaishia zake huko US, UK na Canada. Mie nilipofika 30+ na nakuona maisha ya bongo sio kabisa, nillishia zangu US, kutoboa bongo bila connection ya kua chawa wa CCM ni ngumu sana.
Kweli kabisa watu wanatembea na nongwa mpka basi.Plans na matarajio mengi huleta stress tupu hasa Kwa makapuku. Very true, nitaishi Kwa kinachopatikana kwa mustakabali wa Afya ya akili. Ndio maana unakutana na mtu hujamkosea chochote lkn anakukasirikia tu!
Mkuu, ndio naamka hapa nikaona niingie JF hata sijatulia, nikitulia nitakupa ABC za kuchomoka huko bongo, mie uwa naona wabongo tumelala sana, wakenya na waganda bado wanaingia US kama mvua vile.How did you get there mkuu, nipe ABC na unapiga issue gani USA.. Hata kwa pm kama hutojali mkuu
Tajeer huyo💃Naomba kazi first born, au nije kukusaidia kuhesabu hela
Sure thing, Nitakuwa nasubiri mrejesho mkuu.Mkuu, ndio naamka hapa nikaona niingie JF hata sijatulia, nikitulia nitakupa ABC za kuchomoka huko bongo, mie uwa naona wabongo tumelala sana, wakenya na waganda bado wanaingia US kama mvua vile.