Unajua sometimes hata usipoandamwa na hardships lakini kuna saa ukiangalia tu maisha yanavyoenda na hatima yetu sote unaanza kuona kama its pointless.😐Acha tu mkuu, kuna nyakati unaandamwa na hardships hadi unakosa majibu. Kwa nini tunaishi!!
Kabisa, ila Kuna a great awakening huwa inakuja kujua kuwa you only have a short period to make it worth it. Unaacha kabisa kuuliza maswali na kuanza kuishi rasmiUnajua sometimes hata usipoandamwa na hardships lakini kuna saa ukiangalia tu maisha yanavyoenda na hatima yetu sote unaanza kuona kama its pointless.😐
Najua, mkuu ila wanasema by 40 true life begins
Yaani mtu unakuwa umesha vuka mid life crisis.
Ila hapo ndo utaamka kabisa, maana huna cha kupoteza
Kwamba mwisho wa yoye ni kufa tu, maisha yanakosa maana!Unajua sometimes hata usipoandamwa na hardships lakini kuna saa ukiangalia tu maisha yanavyoenda na hatima yetu sote unaanza kuona kama its pointless.😐
Kuna jamaa kaja kunipa stori yake, he's almost 50 ila. Ukimwona kama anamiaka 35 hivi, aisee kazunguka hii nchi ila hana cha kusema kuwa hiki ni changu.Hawaamini macho yao
Sahivi uko wapi?Acha kabisa, kuna umri ukofika kama kuna vitu huja'accomplish lazima stress zikuandame!
Sema tunaishi tu!!
That's why huwa nabaki kuumia as to why nilizaliwa huku kwa wamatumbi.Yote kwa yote umasikini Tanzania umesababishwa na CCM hasa kipindi hiki cha samia.rasilimali tulizonazo ilitakiwa kuwe na mazingira wezeshi ya kuwafanya watanzania kuwa na urahisj wa kutafuta mahitaji.Kuna mji unaitwa loxembourg huko ulaya nilifika nikashangaa nikapanda sgr bure pamoja na mabasi.Nikauliza nikaambiwa huku ndiyo utaratibu yaani serikali inawalipia kutokana na viongozi wao kuwa wazalendo.Halafu wale ambao hawajaajiriwa wanalipwa mshahara na serikali.Njoo sasa kwetu kwa sa100 ufungue tu hata kibiashara chako uone utakavyosumbuliwa.
Kuna jamaa kaja kunipa stori yake, he's almost 50 ila. Ukimwona kama anamiaka 35 hivi, aisee kazunguka hii nchi ila hana cha kusema kuwa hiki ni changu.
He wasted his life dancing, kwenye band ya muziki ambako alidhani kuna pesa, saiz anajihusisha na mambo ya ujenzi, saidia fundi.
Naye sijui tuseme youko kwenye late life crisis maana tayari anakaribia uzeeni
Ni kweli kabisa kiongozi.Aah wapi.
Umeuelewa tofauti huo msemo.
Ila Life begin at 40 una maanisha mtu akifika kwenye age hiyo anakuwa amekomaa zaid kifikra, mtazamo, mihemko haiko, atasimamia anachokiamini .
All in all anakuwa na uzoefu zaidi wa Maisha.
Lakin hilo hali-guarantee kuwa umevuka mid life crisis.
yaani hapo ndio kwanza mid life crisis inaanza kama miaka 15+ ya ujana wako umeuchezea au haukufanikiwa na pengine ulipata nafasi ya kujiboresha ila ukapuuzia au ukaichezea.
Ndio majuto yanaanza.
Hata Biblia. Inasema Tutaulizwa Ujana wako umeufanyia nini.
Tupambane ndugu zangu.
Unadhani kila mtu ana definition moja ya mafanio?Misemo ya kujifariji.
Maisha hayakusubirii, ukidhani kuwa kuna divine intervention itakuja kukuchukua ufikie mafanikio, you'll wait till you die.
Ni dhahiri kukubali kuwa wewe huna what it takes, na u level up, hakuna kingine
Unaweza ukapata vyote hivyo lakini life ikawa full depression, muhimu afya na amani ya moyo wakoHapana. Hapo naona bado ndugu.
Mtu ana 40 yrs.
hana nyumba, hana gari, hana mtoto, hana mke/mume, hana hela na hana kazi/biashara nzuri,
Hana mwanamke/mwanaume anayeeleweka.
Alafu Ukiangalia ndugu marafiki na agemate wako. Wako far way better.
kwenye Point hiyo ndio hasa utaelewa mid life crisis.