Raba kali
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 230
- 536
Unataka kusema nn mkuu?Na kama huridhiki hata uwe na mabilioni bado utaishi kwa stress na mawazo. Kuna hawa jamaa zetu kabila maarufu tajiri. Unaweza kumkuta ni tajiri kweli kweli ila ana msongo wa mawazo,chuki,mkorofi yaani kiujumla hana amani kabisa.