Buguruni Kwa mnyamani .Haya first born nipe location haraka iwezekanavyo
Juzi hapa zenji serikali ilipitosha notes wale walio panga zile nyumba za serikali wapishe ili zijengwe upya kisasa zaidi katika maeneo Fulani cha kushangaza watu wakagoma eti twende wap, sasa unajiuliza serikali Ina nia njema tu hata wasipo kurudisha sio kwako huna haki ya kugomaJuzi nilikuwa naongea na mzee mmoja muhindi 70s akaniambia kamnunulia kijana wake apartment Masaki $350,000. Yeye ana nyumba mbili Masaki moja anaishi napajua, nyingine kapamgisha ubalozi wanamlipa $7000 kwa mwezi. Nina rafiki yangu muhindi tumekuwa nae, kwao Masaki kuna nyumba 4 ndani ya compound yeye anaishi moja,kaka yake moja na moja wamepangisha mzungu na moja ya wazazi,hizi nyumba wakati tunakiwa zilikuwa mbili tu ila zimeongezeka kadiri walivyokuwa wanakua. Pia Masaki na Oysterbay nawaona wahindi wengi tu wanamiliki nyumba wanaishi. Kuna wahindi wengi sana Mikocheni wanaishi kwenye nyumba zao. Upanga maghorofa mengi yanajengwa na wahindi wananunua wenyewe wanaishi. Ninachotakq kusema hii kauli ya kujipa moyo tuishi kwa kupanga kama wahindi imepitwa na wakati.
Lunch kwangu saa7, kula peke yako. Ukimaliza nipitie tukacheze kombolela.Pokea simu pokea simu mida ya lunch hii
Kwahiyo ushakula makande.....hebu nipigie kwanzaLunch kwangu saa7, kula peke yako. Ukimaliza nipitie tukacheze kombolela.
Ulimbukeni na kutokutaka kuwajibikaJuzi hapa zenji serikali ilipitosha notes wale walio panga zile nyumba za serikali wapishe ili zijengwe upya kisasa zaidi katika maeneo Fulani cha kushangaza watu wakagoma eti twende wap, sasa unajiuliza serikali Ina nia njema tu hata wasipo kurudisha sio kwako huna haki ya kugoma
Sio vizuri kuzubaishwa na macho ya watu ukasahau kwamba kuna ambaye anaona ya sirini.Things have gotten worse.
Mimi naona kabisa, ni kheri ukapambana ukatafuta mwanya mzuri wa kukuingizia pesa na ukafunga bakuli, no one is really happy.
Na kuna enterview moja niliona jamaa anasema pesa ndo kila kitu, iwe inasakwa kwa uhalali au lah,
Ni kweli, because at the end of the day, kama huna huna tu. People won't care how you got it. We have to adapt.
Makande nakula Jumamosi, Jumanne na Alhamisi we binti...Kwahiyo ushakula makande.....hebu nipigie kwanza
Hao wanaosema hela iwe inatafutwa kihalali au la ndio dudubaya anaishia kusema watch your back.Things have gotten worse.
Mimi naona kabisa, ni kheri ukapambana ukatafuta mwanya mzuri wa kukuingizia pesa na ukafunga bakuli, no one is really happy.
Na kuna enterview moja niliona jamaa anasema pesa ndo kila kitu, iwe inasakwa kwa uhalali au lah,
Ni kweli, because at the end of the day, kama huna huna tu. People won't care how you got it. We have to adapt.
SawaSio vizuri kuzubaishwa na macho ya watu ukasahau kwamba kuna ambaye anaona ya sirini.
Hakuna Furaha na Amani ya kweli kwenye udhalimu.
WAGALATIA 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Sio kwa kuliwa jicho aisee. Labda uwe mwanamke, lakini mwanaume utoe jicho kabisa!Hahaha si kikubwa doo imesoma kwa benki?
Sahiihi kabisaNi changamoto sana. Mategemeo yanakuwa tofauti na uhalisia. Masikini wanazidi kuwa masikini na matajiri ambao ni wachache wanazidi kuwa matajiri hasa.
Muhimu ni kwamba ikitokea umepata chance nzuri ya kupata hesa usiichezee, weka mipango vizuri ya maendeleo. Remember opportunity lost will never come.
Ukweli mchunguAcha kabisa, kuna umri ukofika kama kuna vitu huja'accomplish lazima stress zikuandame!
Sema tunaishi tu!!