Sawa kiongoziUsipanic mkuu. Pia fikiria, kila mtu akimiliki gari maisha yangekuwaje? Kila mtu akijenga nyumba maisha yangekuwaje? uhalisia kuna vitu unaambiwa kama matarajio ila sio wote watakaofikia, ridhika na kile Mungu alichokujalia alafu panga mambo yako pasipo na stress.
SawaUsipanic mkuu. Pia fikiria, kila mtu akimiliki gari maisha yangekuwaje? Kila mtu akijenga nyumba maisha yangekuwaje? uhalisia kuna vitu unaambiwa kama matarajio ila sio wote watakaofikia, ridhika na kile Mungu alichokujalia alafu panga mambo yako pasipo na stress.
Hakika eti niffer mdogo wangu ananizidi net worth kweli?Na hii mitandao imeharibu zaidi. Unakuta vitoto kama kina Niffer vinasukuma ndinga za mamilioni... sema kila mtu na maisha yake hatuwezi kuwa sawa. Shikilia ulicho nacho kwa wivu mkubwa.
Ni hatari sana mkuu kuna muda hali inakua ngumu mno huoni mbele. Huwa inanitokeaga hasa nikikaribia kupata pesa ila navuka kibishi. Life ni mpambano mkali sana ukiwa dhaifu utakimbia pambano mapema sana.Sahihi, kuna wakati unapigika kisawasawa. Inafika kipindi huoni pa kushika ni kama mbele kuna ukuta. Ila unajikuta umetoboa kibishi mpaka unashanga imewezekanaje
Na hapo sio mwisho wa hardship mamaé picha linaendelea hivyo hivyo, kupumzika kaburini kmmmk
Kweli kabisa mkuuHakika, mkuu.
Wakati tunajua hilo, ni kheri tukaishi kwa kujitoa kweli kweli, ili angalau tukifa tusitoweke kizembe