Endelea kupambana ndugu,kila mtu na wakati wake,hata huko unakotaja kwa wazee wa miaka hiyo bado kuna waliofikia mpaka kustaafu hawana nyumba wamepanga mtaani,weka tumaini lako kwa Mungu,jitume sana,usichague kazi,mradi tu hiyo kazi inakupa risizki yako ya kila siku yaani,chakula,mavazi na unamudu gharama ndogondogo,usiwe na tamaa ukaingia kwenye mikopo,hapo utaona dunia ni kama imekukataa,waache wenye mapesa yao wakope,ila kama hujajipanga kimbia kitu kinaitwa mikopo.Weka hii kichwani mwako LIFE IS LIVING AND LIVING IS PAIN,THERE NOTHING SO SPECIAL IN THIS WORLD THAN JUST LIVING,hayo mambo ya mapesa na utajiri yapo tu kama unastahili iko siku Mungu atakufungulia mlango...