Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Chiwawa wewe ni kichaa haupo sawa upstairs hilo wala halina ubishi,
Hakuna atakaye changia vitu vya maana kwenye vinyuzi vyako ambavyo unabishana na kumpinga kila mchangiaji,
nenda Milembe kwanza ukatibiwe,JF ipo tu utaikuta tu.
Naona bipolar nimefika critical stage...

Nilisha kwambia hold your freaking ass,

Acha kudhani unanifahamu,

Baki kwenye hoja
 
Juzi nilikuwa naongea na mzee mmoja muhindi 70s akaniambia kamnunulia kijana wake apartment Masaki $350,000. Yeye ana nyumba mbili Masaki moja anaishi napajua, nyingine kapamgisha ubalozi wanamlipa $7000 kwa mwezi. Nina rafiki yangu muhindi tumekuwa nae, kwao Masaki kuna nyumba 4 ndani ya compound yeye anaishi moja,kaka yake moja na moja wamepangisha mzungu na moja ya wazazi,hizi nyumba wakati tunakiwa zilikuwa mbili tu ila zimeongezeka kadiri walivyokuwa wanakua. Pia Masaki na Oysterbay nawaona wahindi wengi tu wanamiliki nyumba wanaishi. Kuna wahindi wengi sana Mikocheni wanaishi kwenye nyumba zao. Upanga maghorofa mengi yanajengwa na wahindi wananunua wenyewe wanaishi. Ninachotakq kusema hii kauli ya kujipa moyo tuishi kwa kupanga kama wahindi imepitwa na wakati.
5/100 ndiyo wanamiliki nyumba zao,wengi wana mabilion UTT-AMIS wamehifadhi humo!,kiasi rent is just a peanut money to pay!...(Wanaamini money 💰 is everything wanaweza kulipa rent kwa muda mpaka karne moja bila hofu kabla hawajaenda nunua nyumba CANADA)
 
Walituambia by 30s tayari tutakuwa na nyumba, gari, mke na watoto.

Kumbe 30s za wazee wako sio kama 30s za leo,

Mtu ana miaka 50s bado anaishi nyumba ya kupanga? 😂

Wazee, we are cooked.

Kila mtu ashinde mechi zake.

Kweli kabisa love is for, women children and dogs... A man is only respected for what he brings to the table.
Maisha yanaweza kuwa chochote, ingawa huwezi kupata kila kitu.
 
Naona bipolar nimefika critical stage...

Nilisha kwambia hold your freaking ass,

Acha kudhani unanifahamu,

Baki kwenye hoja
Chiwawa kwa akili hiyo,huko mbeleni kuna gizo totoro linakusubiri,
Utashindia mpaka mkate na maji ya moto,
Kujiliza kwako humu hakuwezi kukusaidia kitu,watu wanakuenjoy tu kama Pilipili kwenye msosi.
 
Dah Mungu ni mwema sana sitoacha kumshukru each and every day, sijafika 35 bado ila angalau nina vibanda viwili, kimoja naishi mwenyewe nipo na wife na madogo wawili kimoja nakula kodi mdogo mdogo si haba ukizingatia elimu yenyewe darasa la saba, nawaombea wote ndugu zangu ambao bado tusonge mbele kukata tamaa ni mwiko
 
Aah wapi.
Umeuelewa tofauti huo msemo.

Ila Life begin at 40 una maanisha mtu akifika kwenye age hiyo anakuwa amekomaa zaid kifikra, mtazamo, mihemko haiko, atasimamia anachokiamini .

All in all anakuwa na uzoefu zaidi wa Maisha.
Lakin hilo hali-guarantee kuwa umevuka mid life crisis.
yaani hapo ndio kwanza mid life crisis inaanza kama miaka 15+ ya ujana wako umeuchezea au haukufanikiwa na pengine ulipata nafasi ya kujiboresha ila ukapuuzia au ukaichezea.

Ndio majuto yanaanza.

Hata Biblia. Inasema Tutaulizwa Ujana wako umeufanyia nini.

Tupambane ndugu zangu.
Uko sahihi sana chief,
 
Chiwawa kwa akili hiyo,huko mbeleni kuna gizo totoro linakusubiri,
Utashindia mpaka mkate na maji ya moto,
Kujiliza kwako humu hakuwezi kukusaidia kitu,watu wanakuenjoy tu kama Pilipili kwenye msosi.
Tuliza bipolar, Ishi maisha yako.

Alaf baki kwenye hoja, hauninjui sikujui.

I'm over that shit
 
Ndio tunapambana na kama kuna makosa tuliyaona tunajitahidi tusiyarudie. Mungu atusaidie
Amen, leo umeongea kitu chema sana
Juzi nilikuwa naongea na mzee mmoja muhindi 70s akaniambia kamnunulia kijana wake apartment Masaki $350,000. Yeye ana nyumba mbili Masaki moja anaishi napajua, nyingine kapamgisha ubalozi wanamlipa $7000 kwa mwezi. Nina rafiki yangu muhindi tumekuwa nae, kwao Masaki kuna nyumba 4 ndani ya compound yeye anaishi moja,kaka yake moja na moja wamepangisha mzungu na moja ya wazazi,hizi nyumba wakati tunakiwa zilikuwa mbili tu ila zimeongezeka kadiri walivyokuwa wanakua. Pia Masaki na Oysterbay nawaona wahindi wengi tu wanamiliki nyumba wanaishi. Kuna wahindi wengi sana Mikocheni wanaishi kwenye nyumba zao. Upanga maghorofa mengi yanajengwa na wahindi wananunua wenyewe wanaishi. Ninachotakq kusema hii kauli ya kujipa moyo tuishi kwa kupanga kama wahindi imepitwa na wakati.
Wajinga sana wamatumbi, anahisi kila msemo uko viable.
 
Tuliza bipolar, Ishi maisha yako.

Alaf baki kwenye hoja, hauninjui sikujui.

I'm over that shit
Chiwawa utajiliza sana humu JF,utaomba sana elfu 20 ila at the end utajikuta upo peke yako tu na kuwapa kazi watu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,

Au hizi nyuzi unazo anzisha kila dakika ndio akiba yako ya uzeeni?
 
Back
Top Bottom