Viongozi wa CHADEMA kwa uelewa wao wa sheria na nafasi yao katika Nchi na jamii hawapaswi ku-behave hivi. Wanatukatisha tamaa.Uzuri wa cdm ni ile tabia yao yao ya kuingizana mkenge.
Haya Mandela nae alidhalilishwa tena kwa miaka na sio siku....look at him now!!Kuna alichopungukiwa zaidi ya kuheshimiwa ulimwenguni kote???!MTAMU: Kwenda jela ni udhalili, na ndio maana kule huwakuti watu safi ila wenye tuhuma mbaya ambayo haikubaliki katika jamii. Halafu unasema wangeendelea kumshikilia wakaona ivi hizo siku mbili alizonyea debe wewe kama wewe ulifanya nini? siulikuwa kwa mumeo unaendelea na majukum yako? acha kuwaingiza mkenge wenzio.
muhurumieni kiongozi wenu amelazwa sakafuni, amenyea ndoo na amesafirishwa usiku wa manane usingizi hakulala wakati wewe unakoroma ! Amekuwa ifected kisaikolojia vibaya sana , na hana heshima tena mbele ya watu wenye akili timamu
Muhurumieni kiongozi wenu amelazwa sakafuni, amenyea ndoo na amesafirishwa usiku wa manane usingizi hakulala wakati wewe unakoroma ! amekuwa ifected kisaikolojia vibaya sana , na hana heshima tena mbele ya watu wenye akili timamu
Kila kitu mtakisukumia CCM. CCM wana matatizo yao mengi tu kwa sasa. Hawana muda wa kufuatilia dhamana ya Mbowe. Halafu, viongozi wetu wa CHADEMA wakiendelea kushindia mahakamani kila uchao watakuwa kama Mchungaji Mtikila.umetumwa na ccm, akili yako ni sawa na kuku. Kodi zetu zimetumika vibaya kwa sababu ya ujinga wa mahawala zako ccm. Kwa fikra hizo utakuwa mjinga daima, akili yako haitapanuka na itaendelea kusinyaa. Hakimu alipata maelekezo ambayo yametughalimu sote. Kamlilie hakimu wa kimagamba.
hawalioni hili!
Mkuu TT
hakwenda haja siku hizi mbili mkuu?
swali je alikuwa na wafungwa wengine au peke yake??
Funzo ameisha lipata, nadhani sasa akisikia wito wa mahakama atakimbia kama upepo ! Dola dola dola si mchezo
Amekaa jela Mandela hadi anazeeka ndo iwe Mbowe siku mbili... Acha hisia zako za kidini weweKwa jinsi alivonyea debe nadhani siku nyingine dharau atapunguza
yaani kuna wakati tuwe tunaangalia na gharama jamani............... maelezo ya mstari mmoja miwili kwenye file ndiyo yamegharimiwa kiasi hiki?............ kweli tuna safari ndefu sana................. any way, ilikuwa free promo for chadema
Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.
Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell me serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.
Hapa unamaanisha hakuna mfungwa hata mmoja magerezani, au unatakaje yaani? Kwa kuwa kuna wezi, ufisadi na blah blah basi na Mbowe na aachiwe avunje sheria? Mimi nilidhani kwenye system kama hii ambayo wewe unataka kuibadili ni bora uiprove otherwise na kuifuata sheria ili hata unaotaka kuwashawishi kuwa kufuata sheria inawezekana wakayaona hayo kwa vitendo.
Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.