Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hatimaye Mbowe apewa dhamana

nimegundua chadema wa jf wote pumbafu kabisa.

nchi haitakalika peoples power huku wanajfungia majumbani kwao.
wanaancha maskini wakaandamane na kupigwa bakora kama wanafunzi.

wamemuacha mwenyekiti anakunya kwenye ndoo siku mbili.

kasafirishwa kama kibaka kwenda arusha. eti arusha haitakalika.

sasa hapa mmepata nini. bora angeheshimu dhamana ya mahakama.

kuna watu hapa bora waingie choo cha kike tu ni waoga hao

Na wewe tope mahesabu yako ya ulichokipata
 
I think hakutegemea haya yote!

kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.

At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!


Kwa watu msiojua sheria:

kisheria maana ya dhamana ni* kwamba mtu asije kupotea* wakati kesi inaendelea, ndio maana unapomdhamini mtu anayefahamika na mwenye shughuli zake inakuwa rahisi kwa maana kwamba*** mtu huyo hatarajiwi kutoroka. Hivi Mbowe anaweza kutoroka kesi ya kipuuzi kama ya arusha? Lakini jambo jingine ni utaratibu mtu anapokuwa hakutokea mahakamani, imekuwa bahati mbaya sana mahakimu wetu kwa makusudi au kutokujua wamekuwa wakifanya kosa hili mara nyingi sana. Mtu sipofika wanatoa hati ya kumkamata. Kimsingi mtu asipofika anapaswa kupewa notisi ya kumuita na kumuuliza kwa nini hakufika, kama mahakama itaridhika na maelezo yake, anaonywa kuhuduria siku ingine na mambo yanakwisha.* Hii ya kumkamata mtu inatokea kwa mtu aliyeruka dhamana, yaani mtu katoweka na* ndio hoja ya kumkamata inapoibuka, anatafutwa akipatikana akamatwe,. na hili la wadhamini ndio upuuzi kabisa. Mdhami hana jukumu* la kwenda mahakamani, wajibu wa mdhamini ni kuhakikisha mtuhumiwa hatoroki, na kama ametoroka ndio unamatafuta mdhamini ili atekeleze masharti ya mkataba wa udhamini. Sasa unaagiza mdhamini wa mbowe akamatwe kama vile Mbowe hajulikani alipo! Usanii na senema kwa kwenda mbele.-
 
Amedhalilishwa au wamejidhalilisha waliomkamata??? Hv kwenda jela ni kudhalilika??? Wangeendelea kumshikilia waone.
Wanafanya mambo bila kufikiri.

MTAMU: Kwenda jela ni udhalili, na ndio maana kule huwakuti watu safi ila wenye tuhuma mbaya ambayo haikubaliki katika jamii. Halafu unasema wangeendelea kumshikilia wakaona ivi hizo siku mbili alizonyea debe wewe kama wewe ulifanya nini? siulikuwa kwa mumeo unaendelea na majukum yako? acha kuwaingiza mkenge wenzio.
 
nenda zako wewe stuped bado zamu yako utajuta na wewe pia utanyea ndoo
 
Tatizo ni kwamba hamtuletei picha za matukio ya hapo. Lkn nazifuatilia jamiiphotos sasa hv!
 
huu ni ushindi mkubwa saaaana kwa CHADEMA. magamba ur days are nunbered!!!
 
huu ni ushindi mkubwa saaaana kwa CHADEMA. magamba ur days are numbered!!!
 
Wabunge wa upinzani naomba mwende bungeni na hoja ya kupunguza bajeti ya polisi maana naona wanamisiyuzi ela ya kodi. We ela ya kumpa ujiko mh.mbowe imetoka wapi?yani wamemjengea jina kubwa vibaya.
 
CCM bana watachanganyikiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!hawajui wanaipaisha cdm bila kujua.:A S 100:

watu wenye akili kama wewe hapo ndipo mnakosea. Mnaidharau Mahakama kwa kudhani mnaidharau CCM,sasa inabidi mtiwe adabu kwani inaonekana na genge la wasiokuwa na maadili kitaifa
 
Kutokana na udhalilishaji wa vyombo vya dola na viile vya sheria dhidi ya haki za watanzania maandamano ya kukosa imani na sekali nchi nzima yaendelee. Hatuna na imani na serkali isiyojali watu wake. Mauaji ya wananchi mikononi mwa jeshi la polisi, rushwa polisi na mahakamani na kutowapa watu haki zao za msingi. PIPOZZZZZ
 
Umoja ni nguvu siku zote! Wangeendelea kumshikilia mbona wangekiona cha moto! Viva Chadema!
 
Taarifa za ITV saa nne na robo zinasema Mheshimiwa Mbowe ameachiwa kwa dhamana
 
Wananiudhi viongozi wetu "wapendwa" wanapovunja sheria wanazozifahamu vizuri kuliko sisi halafu wanasubiri huruma ya watu. Muda umepotea. Kodi zetu zimetumika vibaya. Tumeacha kufanya mambo ya maana. Wala hakuna tija katika hili.

umetumwa na ccm, akili yako ni sawa na kuku. Kodi zetu zimetumika vibaya kwa sababu ya ujinga wa mahawala zako ccm. Kwa fikra hizo utakuwa mjinga daima, akili yako haitapanuka na itaendelea kusinyaa. Hakimu alipata maelekezo ambayo yametughalimu sote. Kamlilie hakimu wa kimagamba.
 
huu ni ushindi mkubwa saaaana kwa CHADEMA. magamba ur days are numbered!!!

sidhani hii kama ni kweli kwani kila siku humu tunaona viongozi wa chadema wakirejea magambani? hata jana tu hapo kigamboni viongozi wa chadema wamerudi ccm. na kila anakopita Nape anafanya mambo mazito yanayoisumbua kambi ya chadema
 
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha

The Following 9 Users Say Thank You to KISANTILITEDI For This Useful Post:

CAMARADERIE (Today), Gurta (Today), kizazi kipya (Today), mchonga (Today), Mtoka Mbali (Today), muhosni (Today), sweetlady (Today), Waberoya (Today), Zemu (Today)​



Nawauliza hivi, nyie wazee wa baraza, jamaa katoka kiulainiii!!!
Kilichomzuia Mh Mbowe asiende kuomba hiyo dhamana Arusha in the first place ni nini?
 
I think hakutegemea haya yote!

kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.

At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!

mala hii mahakimu wamekua wazuri.dah,siwawezi.AU WAMEWAOGOPA NINI?
 
Well, ni habari njema. Hakimu inadaiwa ameugua ghafla shinikizo la damu baada ya kuona umati na hamaki ya Wa -Arusha. Vipi mbona hilo hamlisemi?
 
Hivi kuna haja gani ya kuwa na thread tatu zinazozungumzia kitu hicho hicho? Mods mko wapi?

futa inayokukera. Soma inayokupendeza. Zimewekwa makusudi kuwanasa wale wasiojua scale of preference na priority. Ivi vitu vipo kwenye masomo mengi kuanzia form4 mpaka PhD. Hapa tutawajua wengi waliokimbia umande,sasa ona akili inavowauma!
 
What you are suggesting is that government do not need to punish law breaker because after punishment the government will be a looser!!!

You have come out clearly now,

so the intention was not to make him appear in court, but rather the intention was to punish him just as you have put it very clearly.

Be that as it may the question that no one wants to answer and everyone is evading is since Mr Mbowe has been punished, for what offence has he been punished ( supported with the relevant Act and provision of law) , if that question is answered, i will show my maturity ( as you put it),
by shutting down my SIPIYU
 
Wana bahati yao, ndio nilikuwa navaa kombati yangu niingie mitaani kukusanya majank halafu niwape root. Sisi makamanda, na hili liwe la mwisho. Masheikh uchwara na kafiri mpo? Toeni tamko lenu tena
 
Back
Top Bottom