Hatimaye Mbowe apewa dhamana

nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!

muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!

guess what??
Mkuu unauhakika nipo kilwa,kwa taarifa tu nipo arushaa,na tulikuwa na mpango kama mbowe asingeachiwa tungechoma mahakama moto na hakimu angekiona cha moto! Magama siku zenu zinahesabika mkuu!
 
Mkuu hata mimi hii serikali imenishangaza. Mimi nilishasema siku nyingi kuwa kuna power vacuum katika nchi tangu 2005 na tunaishi tu kwa kudura za Mungu since then mpaka hapo tutakapo pata rais.
Kwa rais aliye makini huwezi achia nchi katika mikono ya wahuni halafu tuache ku- question siyo tu your legitimacy lakini pia kiwango chako cha busara. Kama nchi inaongozwa kirahisi hivi basi hata mtoto wa Darasa la kwanza anaweza ongoza Tanzania. Umetudhalilisha sana wananchi wako na unatutia kwenye tension kila wakati ukitutishia nyau. Unataka kuendelea ku-prove kuwa wewe ni mtu wa matani ya pwani hata katika masuala ya msingi.

Ulipojua kwamba Mbowe akifika Arusha anaachiwa kwa nini ulimkamata na kutumia gharama kubwa ya kodi za watanzania kumlisha mahabusu , kumpakia ndege na kutumia mabomu ya gharama kubwa na kupoteza mafuta kwenye magari ya doria kuzua wanamapinduzi wasifanye maandamano.

Umeitia nchi hasara pamoja na Saidi Mwema na timu yako yoote kwa kufanya maamuzi ambayo ni very primitive and rudimentary.
Umetuudhi sana JK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Utekelezaji wa sheria huwa hautizami gharama wewe, na isitoshe Mbowe alipewa lifti tu kwani ndege ya serikali ilikuwa yaenda arusha , teh teh teh !
 
wajin** sana hao police na mahakama kwa nin waliamua kutuweka pressure juu.! Viva mpiganaji wetu Mbowe karibu tena duniani tuwashikeshike hao Magamba. Ila ndugu zangu nina wasiwac na sana na hao police huenda kuna k2 wamemfanyia Mbowe. Kama sio kuchomwa sindano ya sumu bas kupewa chakula cha sumu ili afe taratibu. Mlioko karibu na mbowe jaribuni kumwambia acheck afya kwanza kabla cngs goes bad. People's .............!!!!!!!
 
Mwenyekiti Mbowe alikuwa na sababu gani iliomzuia kufika mahakamani? Mbona Dr Slaa alilimaliza hili kistaarabu?

Sababu zipo kwenye taarifa mbali mbali zitafute. Anayetafuta umaarufu na kudhalilisha watu ni huyo hakimu na wala si mahakama pamoja na CCM. All in all it is peoples victory walichokifanya ni mchezo wakuigiza uliowagharimu bila sababu.
 
Mkuu unauhakika nipo kilwa,kwa taarifa tu nipo arushaa,na tulikuwa na mpango kama mbowe asingeachiwa tungechoma mahakama moto na hakimu angekiona cha moto! Magama siku zenu zinahesabika mkuu!

Mbona alipolazwa sakafuni hamkuchoma kituo moto ? lengo limetia mlisema hakamatiki sasa yuko wapi, amekamatwa na amepelekwa kunako takiwa
 
Wana bahati yao, ndio nilikuwa navaa kombati yangu niingie mitaani kukusanya majank halafu niwape root. Sisi makamanda, na hili liwe la mwisho. Masheikh uchwara na kafiri mpo? Toeni tamko lenu tena
 
Habari nilizopata sasa hivi kutoka kwa kiongozi mmoja wa CHADEMA hapa A town zina sema Kamanda Mbowe kesha achiwa na watu wametawanyika mahakamani.
 
Utekelezaji wa sheria huwa hautizami gharama wewe, na isitoshe Mbowe alipewa lifti tu kwani ndege ya serikali ilikuwa yaenda arusha , teh teh teh !

Do you normally think twice? I think if you do you use the wrong organ.
 
Gharama ya amani ni kubwa sana, tume sakrifaisi ili kuiweka jamii salama, Huyu ni mtu hatari sana kwa usalama wa taifa letu watumie tu hata ndege ya rais ikibidi.

Let me tell you nani ni hatari kwa ustawi wa watanzania. Ni mtu anayekenuwa meno huku akiwaachia wezi wanaiba rasilimali na hela mwisho wake watu wanakufa kwa kukosa dawa hospitalini, wakina mama wanajifungulia sakafuni, shule zinakosa waalimu, mabomu yanalipuka lakini hakuna uwajibikaji, nchi inaingia gizani yeye anaona sawa tu, watu wanauza madawa ya kulevya yeye analalamika. huyo ndiye mtu hatari!
 
Kusishangilia sio jambo jema tujiulize kwanza

1. Alifanya kosa gani, kumfanya alale ndani siku mbili?
2. Was it necessary really, to waste time, money and energy on such an unnecessary drama?
3. Couldnt this issue been averted by resorting to other means according to law, where was the high court all this time it had powers to correct
the mess created by the magistrate , it has done before with prompt and speed refer dibagulas case, ilala case ( kesi ya mtu aliyevaa
kibaraghashia mahakamani na kufungwa) (Dar Es Salaam ), to release a Public prosecutor who was arrested by a migistrate ( Dodoma)?
4. At the end of the day, Who has emerged the winner?
5. Je hiki kitu haitarudia tena?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu unauhakika nipo kilwa,kwa taarifa tu nipo arushaa,na tulikuwa na mpango kama mbowe asingeachiwa tungechoma mahakama moto na hakimu angekiona cha moto! Magama siku zenu zinahesabika mkuu!

Ona sasa unavyojichora mkuu, katika wale waliokufa Arusha mbona wewe haukuwa mmoja wao??

I likeviolence mkuu lakini sio zinazosababishwa kijinga kama hii ya mbowe!!!

Ukiisha ikubali serikali na rais basi huna budi kuheshimu dola!!!

makahama ipo, dhuluma ipo, kila siku ndugu na jamaa innocent wanafungwa kwenye hizo mahakama,kwanini hauchomi moto? au unachoma kipindi Mbowe akiwa mahamamani???

ukichoma mahakama,kesho Mbowe akiwa rais utatumia mahakama ipi? utajenga upya?dont you see that mahakama has no side hazipo kwenye CCM (magamba) wala haziko kwenye CDM (nungunungu)!! or do you have different opinion?

At least nimejua uwezo wako mkuu asante kwa kunijuvya!!! LOL!
 
Gharama nyingi zilizotumika zingefanya shughuli nyingine. Hivi nguvu hizi si singeelekezwa kutafuta majambazi na mafisadi?
 
Kwa jinsi alivonyea debe nadhani siku nyingine dharau atapunguza

idiot, imbecil, coward, stupid, mavi, uharo, matapishi, kinyaa,,, yani i dont find a good word which will fit u, hata hayo hayakutoshi kukudescribe
 
wajin** sana hao police na mahakama kwa nin waliamua kutuweka pressure juu.! Viva mpiganaji wetu Mbowe karibu tena duniani tuwashikeshike hao Magamba. Ila ndugu zangu nina wasiwac na sana na hao police huenda kuna k2 wamemfanyia Mbowe. Kama sio kuchomwa sindano ya sumu bas kupewa chakula cha sumu ili afe taratibu. Mlioko karibu na mbowe jaribuni kumwambia acheck afya kwanza kabla cngs goes bad. People's .............!!!!!!!

Mawazo ya wafu siko zote yako hivyo !
 
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha

Tuache ushabiki na umbumbumbu wa sheria za Nchi yenu Tanzania.

Dhamana ni haki ya mtuhumiwa na Mbowe ana haki zote hizo kama mtuhumiwa regardless cheo chake cha kisiasa au Bungeni.
Amri ya mahakama ni lazima itekelezwe na hakimu alimtaka Mbowe afike mahakamani kitu amchacho vyombo vya doula vimahakikisha kuwa amefika chini ya ulinzi mkali wa vyambo vya Doula.

Nafikiri sasa mbowe na Chadema wamepata somo kuwa MSIDHARAU SHERI ZA NCHI na vile vile MSIDHARAU AMRI ZA MAHAKAMA.
 
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha

Ila debe kanyea.Sidhani kama siku nyingine atadharau mahakama. Ajue mahakama siyo chama cha siasa,ni muhimili wa dola. kwa mwandishi mwenye picha zake wakati amekamatwa nahisi alikuwa kama Kiza beseje alivokuwa siku ile M7 amfanyie kitu mbaya
 
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!

Waleeeeeeeee waleeeeeee ona sasa yamenuna ka kitumbua. Mimacho imewatoka ka yanpiga chabo kwa jirani. Hapo ndipo utakapo jua kama CDM ndio chama cha Wananchi. Kwishnea zenu...!!!
 
Back
Top Bottom