Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hatimaye Mbowe apewa dhamana

I think hakutegemea haya yote!

kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.

At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!

Wewe ndio hujui kabisa kilichoendelea!
 
Funzo ameisha lipata, nadhani sasa akisikia wito wa mahakama atakimbia kama upepo ! Dola dola dola si mchezo

Ukisikia akili za kuokota makopo ndio hizi zako; kwani hujui kwamba Mbowe siyo mara ya kwanza kulala rumande? Kwa kukuondolea utabularaza ni kwamba tarehe 5/1/2011 Mbowe alilala rumande pia kwa hiyo usifikiri yeye ni mgeni sana wa maeneo hayo. Unatakiwa upate ukombozi wa kifikra kama mwenzako akikamatwa unashangilia. Wewe usipoingia rumande kisiasa utaingia kwa kubambikiwa kesi ili tuone ni funzo gani utatoka nalo.
 
watu ni wengi sana..lema anaondoka kwa pikipiki..

Awe makini sana na aina ya usafiri huu, maana wabaya wake ni rahisi sana kummaliza kwa style yankumtumbukiza kwenye mtaro. Au yaka mtokea yaliyompata mpambanaji wetu Pasco.
 
Kusishangilia sio jambo jema tujiulize kwanza

1. Alifanya kosa gani, kumfanya alale ndani siku mbili?
2. Was it necessary really, to waste time, money and energy on such an unnecessary drama?
3. Couldnt this issue been averted by resorting to other means according to law, where was the high court all this time it had powers to correct
the mess created by the magistrate , it has done before with prompt and speed refer dibagulas case, ilala case ( kesi ya mtu aliyevaa
kibaraghashia mahakamani na kufungwa) (Dar Es Salaam ), to release a Public prosecutor who was arrested by a migistrate ( Dodoma)?
4. At the end of the day, Who has emerged the winner?
5. Je hiki kitu haitarudia tena?

What you are suggesting is that government do not need to punish law breaker because after punishment the government will be a looser!!!

Million dollar question that you were supposed to start with at least to show your maturity is

0. what made Mbowe not to appear in the court hearing??

6. what made Slaa to attend in the same court hearing??

jamani kuna vitu kuvitetea ni aibu!!
 
waandishi kamuulizeni huyo jamaa anazungumziaje kuhusu mahabusu aliyokuwa amepozi. Na muulizeni amejiandandaje next time
 
Huyu anayesema Mbowe hakufuata taratibu atukumbushe Chenge alichukuliwa hatua gani wakati mahakama inatoa kibali cha yeye kukamatwa huku akiwa kwenye kampeni, tena ananyanyuliwa mkono na ****** akisema 'Chenge Safiii', na wale watu waliopewa flana na kofia wanajibu 'Safiii'.
Tusitetea Mbowe kuvunja sheria kwa kisingizio cha Chenge, CDM ni chama kinachotegemea kuchukua DOLA hatutegemei kifanye kama MAGAMBA, Hapo mwenyekiti ameharibu sana jamani! Lazima cdm iwe ndo chama cha kufuata sheria tumechoka na magamba sasa cdm inataka iwe magamba part 2.
 
Utekelezaji wa sheria huwa hautizami gharama wewe, na isitoshe Mbowe alipewa lifti tu kwani ndege ya serikali ilikuwa yaenda arusha , teh teh teh !
Kama imekuuma mbowe kuachiwa saga chupa unywe! Kafie mbele na magamba yenu, waoga wakubwa nyie, mmeshndwa kuwakamata mapacha wa3 mnakamata wasio na makosa! Mbowe alkuwa na silaha gan mpaka abebwe na helkopta ya jeshi, ulinzi wote ulkuwa na haja gani?? Mnafanya mambo ya kitoto afu hamjiamini. Aibu!!
 
Serekali na liziziemu wametukosesha fursa ya kuangusha serikali, kwa nini wamemwachia mbowe kirahisi hivyo?
 
Afu akakuta njiti ziko za kutosha! Hahahahaha! Aende akapeleke salam kwa hao waliomtuma kuwa A'town ni noma, hawajarbiwi na hawaogopi mafisadi. Tulijiandaa vya kutosha wana bahati.

Muhurumieni kiongozi wenu amelazwa sakafuni, amenyea ndoo na amesafirishwa usiku wa manane usingizi hakulala wakati wewe unakoroma ! amekuwa ifected kisaikolojia vibaya sana , na hana heshima tena mbele ya watu wenye akili timamu
 
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!

Waleeeeeeeee waleeeeeee ona sasa yamenuna ka kitumbua. Mimacho imewatoka ka yanpiga chabo kwa jirani. Hapo ndipo utakapo jua kama CDM ndio chama cha Wananchi. Kwishnea zenu...!!!

Puu ziko u ngapi kwenye jina lako?
 
Muhurumieni kiongozi wenu amelazwa sakafuni, amenyea ndoo na amesafirishwa usiku wa manane usingizi hakulala wakati wewe unakoroma ! amekuwa ifected kisaikolojia vibaya sana , na hana heshima tena mbele ya watu wenye akili timamu


hawalioni hili!

Mkuu TT

hakwenda haja siku hizi mbili mkuu?

swali je alikuwa na wafungwa wengine au peke yake??
 
Nimependa msimamo wa dr.SLAA, Mbowe asipoachiwa hamtatuona bungeni jumanne. Sasa govt.ikafikiria bila kuwa na hoja ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,kanuni hazitatimia. Pia wakaogopa na maandamano ya kumtoa nyoka pangoni. Hapo wakasarenda. Iyo ndo nguvu ya umma bwn!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Let me tell you nani ni hatari kwa ustawi wa watanzania. Ni mtu anayekenuwa meno huku akiwaachia wezi wanaiba rasilimali na hela mwisho wake watu wanakufa kwa kukosa dawa hospitalini, wakina mama wanajifungulia sakafuni, shule zinakosa waalimu, mabomu yanalipuka lakini hakuna uwajibikaji, nchi inaingia gizani yeye anaona sawa tu, watu wanauza madawa ya kulevya yeye analalamika. huyo ndiye mtu hatari!

Hapa unamaanisha hakuna mfungwa hata mmoja magerezani, au unatakaje yaani? Kwa kuwa kuna wezi, ufisadi na blah blah basi na Mbowe na aachiwe avunje sheria? Mimi nilidhani kwenye system kama hii ambayo wewe unataka kuibadili ni bora uiprove otherwise na kuifuata sheria ili hata unaotaka kuwashawishi kuwa kufuata sheria inawezekana wakayaona hayo kwa vitendo.
 
Gharama nyingi zilizotumika zingefanya shughuli nyingine. Hivi nguvu hizi si singeelekezwa kutafuta majambazi na mafisadi?
Wenyewe ndo majambazi namba moja, watakamata majambazi gani tena? Hawana huo uwezo, uwezo wao mkubwa na wa mwisho ni kuwatisha wapigania haki Tz.
 
Kusishangilia sio jambo jema tujiulize kwanza

1. Alifanya kosa gani, kumfanya alale ndani siku mbili?
2. Was it necessary really, to waste time, money and energy on such an unnecessary drama?
3. Couldnt this issue been averted by resorting to other means according to law, where was the high court all this time it had powers to correct
the mess created by the magistrate , it has done before with prompt and speed refer dibagulas case, ilala case ( kesi ya mtu aliyevaa
kibaraghashia mahakamani na kufungwa) (Dar Es Salaam ), to release a Public prosecutor who was arrested by a migistrate ( Dodoma)?
4. At the end of the day, Who has emerged the winner?
5. Je hiki kitu haitarudia tena?

Mkuu umenikumbusha na ile Kesi ya DIBAGULA wa Morogoro, aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitano kwa kusema YESU SI MUNGU, kasheshe yake ilikuja amuliwa na mahakama kuu Dar baada ya watu kupigwa mabomu sana. Sijui kwa nini huwa hatujifunzi!
 
Hivi kuna haja gani ya kuwa na thread tatu zinazozungumzia kitu hicho hicho? Mods mko wapi?
 
Back
Top Bottom