Mimibaba
JF-Expert Member
- Jul 1, 2009
- 4,557
- 1,295
Nafikiri sasa mbowe na Chadema wamepata somo kuwa MSIDHARAU SHERI ZA NCHI na vile vile MSIDHARAU AMRI ZA MAHAKAMA.
Lengo si kudharau sheria za nchi lengo lilikuwa kumdhalilisha Mbowe na Chadema kwa ghara yo yote. Kwa bahati mbaya haikutegemewa kuwa wanachadema wangekuwa na msimamo usioyumba. Kwa hiyo tetea ujinga wa serikali yako kwa sababu imepita point of no repair