Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.
Kibaraka wa CCM umesuuzika sana na matukio haya. Mahakimu hao hao waharakishe na kesi za maelfu ya waTanzania wanaooza gerezani kwa kesi zao kutosikilizwa kwa miaka mingi na sio kushupalia kesi ambayo kimsingi ni ya kubambikiza kuhalalisha mauaji nyie CCm mliyofanya ArushaI think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
guess what??
I think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Hapo kwenye red inahusikaje?huyu hakima ni msukuma anaitwa magesa, yeye hata cj chande anaweza amrisha akamatwe
I think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha
Be careful with what you are wishing!!Gharama ya amani ni kubwa sana, tume sakrifaisi ili kuiweka jamii salama, Huyu ni mtu hatari sana kwa usalama wa taifa letu watumie tu hata ndege ya rais ikibidi.
mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha
piga hesabu za gharama iliyotumika tangia (let say) jumamosi mpaka leo saa 4.00. Anza na wale askari waliopewa overtime, elkopta ya jeshi, na mambo mengine mengi tu kwa ajili ya kutekeleza agizo la kisiasa la kumkamata mbunge wa Hai na Kiongozi mkuu wa upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe! (utadhani ni jambazi sugu, gaidi, fisadi mla rushwa au mhalifu mkuu).Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha
Jipe moyo na endelea kujifariji na maneno yako yasiyo na kichwa wala miguu. Hakuna aliyeomba hapa, hakimu ameogopa nguvu ya umma, ameona watu walivyojaa hapa mahakamani ikabd asalimu amri. Asingemwachia aone nguvu ya umma ingefanya nini. Chadema oyeeeee!!Kakamatwa kwa kukaidi amri ya mahakama, kapelekwa mbele ya pilato, wenzake wamekuja kumuombea dhamana kwa kufuata taratibu zote za kisheria tena kwa adabu zote, kwa kuwa mahakama ni chombo cha haki imewasikiliza.
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
guess what??
wako wapi waliodai lazima afungwe miezi 3?Wamemwogopa tu police na ccm kama mbwa koko wa sokoni