Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Sijapenda ndoto niliyoota leo. Eti nimeota ndoto kwamba Polisi wakiwa wanamsafirisha Mbowe njiani walimpiga sumu ya Kumuua taratibu in some few years to come bila yeye kujijua. Kama kuna roho kama hii ishindwe
Tuondolee bangi zako hapa,

Wakuu samahanini, nakumbuka kuna amri ya kumkamata Mr Chenge ilitolewa na Sundi Fimbo, hivi ilikuwaje tena, coz alijisalimisha au kuna kipengele kilikuwa kimekosewa ? Kwa wenye kumbukumbu naombeni rekodi...

Mdhamini wake alijitokeza baada ya hati kutolewa na Kutoa sababu za kuchelewa kwake Mahakamani. Hakimu aliridhika na kufuta hati ya kumkamata Chenge.

Viongozi wa CHADEMA kwa uelewa wao wa sheria na nafasi yao katika Nchi na jamii hawapaswi ku-behave hivi. Wanatukatisha tamaa.

wanakutatisha tamaa wewe na karunguyeye wengine! Hakuna ukombozi bila harakati ! Mnapenda siasa za kubembelezana , pambaf . . .

Kutokana na udhalilishaji wa vyombo vya dola na viile vya sheria dhidi ya haki za watanzania maandamano ya kukosa imani na sekali nchi nzima yaendelee. Hatuna na imani na serkali isiyojali watu wake. Mauaji ya wananchi mikononi mwa jeshi la polisi, rushwa polisi na mahakamani na kutowapa watu haki zao za msingi. PIPOZZZZZ

Kama na wewe unataka kutangulia kuzimu basi jaribu...........**** ya kuku

Raisi wa inchi nje ya Ikulu, DR. Slaa jana alisema Mbowe aachiwe huru. Hakimu ametii amri kwa mda wa Dakika 45 baada ya kuingia mahakamani Mbowe yupo huru.

yaani maandamano lazima ....yaani this time nabeba familia nzima tukaandamane ..serikali gani hii ina makengeza na spika haongei lolote ana kazi ya kujikuna kuna tu

Maisha yamekushinda wewe na familia yako, nenda kaandamane

we ni kidudu-mtu au kifutu? Au vyote kwa pamoja.hiyo nduge ya raisi wenu yenyewe FEKI,au hujui,hiyo sio ndege ya kumbebea MBOWE,ni ya kum bebea mhuni wenu.

Rais wetu? Nafurahi unatambua zile asilimia 60. Hayo mengine peleka kinondoni ndipo kuna nafasi yake.

Mmekipa chadema umaarufu zaidi. Mbali nakutumia vibaya kodi zetu. poleni ccm na serikhali yake kwa ujumla....mnavyo fanya ivi mnazidi kujenga chuki na wananchi.

Raisi wa inchi nje ya ikulu.DR.SLAA jana alisema Mbowe aachiwe huru.Hakimu ametii amri kwa mda wa Dakika 45 baada ya kuingia mahakamani Mbowe yupo huru.

Huu ni wehu, kaachiwa huru kwa dhamana? Sijui mijitu kama Slaa inapokuwa na wafuasi wa namna hii inajisikiaje au ndio ndege wa rangi moja huruka pamoja.

nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!

muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!

guess what??

That your view kama za huyo unaye m criticize.....as you said they gambled and it paid out.....risk ziko kila sehemu so who knows the facts? ni yeye mbowe so ur not God to be perfect

Mbona alipolazwa sakafuni hamkuchoma kituo moto ? lengo limetia mlisema hakamatiki sasa yuko wapi, amekamatwa na amepelekwa kunako takiwa

Suala siyo kwamba hakamatiki bali HAKAMATIKI KIRAHISI, si umeona kimbembe chake? Kova, Mwema hawajalala

Heshima kwenu wanajamvi,

Wakuu poleni na starehe za week end.

Wakuu ebu tuweke ushabiki pembeni tujadili hoja badala ya viroja nina maswali kadhaa naomba kujuzwa.

Kuna sababu gani za msingi zilizomfanya mwenyekiti wa CHADEMA asihudhurie mahakamani ?.Ni ubabe,dharau au ulimbukeni.Nasema hivyo kwasababu Mbowe,Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA wameshitakiwa kwenye mahakama hiyo hiyo na mashitaka hayo hayo ajabu iweje wenzake Dr Slaa na Lema watii na kuheshimu mahakama kwa Mbowe iwe tofauti !.Mheshimiwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani [ukipenda chama mbadala],ni kiongozi mkuu wa upinzani.Chama kinachotarajiwa kuchukua dola lazima kionyeshe mfano bora wa kutii sheria na kufuata taratibu.jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu wenye kufuata misingi ya utawala bora hakika ingekuwa ni sababu tosha za kuachia madarakani ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Mbowe ni sawa na waziri mkuu (kiongozi wa upinzani) ndani ya bunge kwa sababu hiyo kwanza kumkamata bila kufuata taratibu ilikuwa ni kosa kikatiba achilia mbali majukumu yake tuu kama mbunge. taratibu halali ilikuwa kuwazuia tu pale kwa muda na baadae kuomba kibali cha bunge kama kulikuwa na haja sana ya kuwakamata kwa makosa yale. Tuna mbunge ambae ameshiriki kuandaa mauaji ya Dr. Chageni na ametajwa na kuandikwa magazetini mbona bado hajakamatwa hadi sasa. Hiyo ndio ilitumika hata kwa Chenge. INAKUAWAJE DOUBLE STANDARDS. Nasema Baba wa bunge Samwel Sitta atoe somo ITV ijumaa hii ili mkosa shule Makinda ajifunze.Ameshindwa kulinda heshima ya Bunge na wabunge.

Ole wao wasingemwachia,bt nahis thy hv read da small prints

Mkuu G Lema ni mbunge vile vile !.
Ndiyo lema ni mbuge lakini si kiongozi wa kambi bungeni kama alivyo mheshimiwa Mbowe.majukumu ya mbowe yanatofatiana sana na ya kamanda Lema.tofautisha vyeo wewe!

I think hakutegemea haya yote!

kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.

At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Eti huyu naye ni great thinker kwenye sheria hakuna kitu kinaitwa msimamo mkali ni kufuta sheria tu hizi siyo kama imani kali za kimjahidina na siasa kali.

Back
Top Bottom