Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hatimaye Mbowe apewa dhamana

yaani maandamano lazima ....yaani this time nabeba familia nzima tukaandamane ..serikali gani hii ina makengeza na spika haongei lolote ana kazi ya kujikuna kuna tu
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Wakuu poleni na starehe za weekend.

Wakuu hebu tuweke ushabiki pembeni tujadili hoja badala ya viroja nina maswali kadhaa naomba kujuzwa.

Kuna sababu gani za msingi zilizomfanya mwenyekiti wa CHADEMA asihudhurie mahakamani? Ni ubabe, dharau au ulimbukeni?

Nasema hivyo kwasababu Mbowe,Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA wameshitakiwa kwenye mahakama hiyo hiyo na mashitaka hayo hayo ajabu iweje wenzake Dr Slaa na Lema watii na kuheshimu mahakama kwa Mbowe iwe tofauti?

Mheshimiwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani [ukipenda chama mbadala],ni kiongozi mkuu wa upinzani.Chama kinachotarajiwa kuchukua dola lazima kionyeshe mfano bora wa kutii sheria na kufuata taratibu.

Jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu wenye kufuata misingi ya utawala bora hakika ingekuwa ni sababu tosha za kuachia madarakani ya uongozi ndani ya CHADEMA.
 
Kutokana na udhalilishaji wa vyombo vya dola na viile vya sheria dhidi ya haki za watanzania maandamano ya kukosa imani na sekali nchi nzima yaendelee. Hatuna na imani na serkali isiyojali watu wake. Mauaji ya wananchi mikononi mwa jeshi la polisi, rushwa polisi na mahakamani na kutowapa watu haki zao za msingi. PIPOZZZZZ

Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !
 
Ona sasa unavyojichora mkuu, katika wale waliokufa Arusha mbona wewe haukuwa mmoja wao??

I likeviolence mkuu lakini sio zinazosababishwa kijinga kama hii ya mbowe!!!

Ukiisha ikubali serikali na rais basi huna budi kuheshimu dola!!!

makahama ipo, dhuluma ipo, kila siku ndugu na jamaa innocent wanafungwa kwenye hizo mahakama,kwanini hauchomi moto? au unachoma kipindi Mbowe akiwa mahamamani???

ukichoma mahakama,kesho Mbowe akiwa rais utatumia mahakama ipi? utajenga upya?dont you see that mahakama has no side hazipo kwenye CCM (magamba) wala haziko kwenye CDM (nungunungu)!! or do you have different opinion?

At least nimejua uwezo wako mkuu asante kwa kunijuvya!!! LOL!
Niliwahi kusoma post zako nikafikiri una busara, lakini nimegundua una chuki na Mbowe.
Akili zako nazifananisha na za Gbagbo.

Ondoa chuki binafsi.
 
Viongozi wa CHADEMA kwa uelewa wao wa sheria na nafasi yao katika Nchi na jamii hawapaswi ku-behave hivi. Wanatukatisha tamaa.

Wewe ni kiranja wa kusimamia uelewa? Basi anzia CCM Polisi JK na Mahakama
 
HTML:
Heshima kwenu wanajamvi,

Wakuu poleni na starehe za week end.

Wakuu ebu tuweke ushabiki pembeni tujadili hoja badala ya viroja nina maswali kadhaa naomba kujuzwa.

Kuna sababu gani za msingi zilizomfanya mwenyekiti wa CHADEMA asihudhurie mahakamani ?.Ni ubabe,dharau au ulimbukeni.Nasema hivyo kwasababu Mbowe,Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA wameshitakiwa kwenye mahakama hiyo hiyo na mashitaka hayo hayo ajabu iweje wenzake Dr Slaa na Lema watii na kuheshimu mahakama kwa Mbowe iwe tofauti !.Mheshimiwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani [ukipenda chama mbadala],ni kiongozi mkuu wa upinzani.Chama kinachotarajiwa kuchukua dola lazima kionyeshe mfano bora wa kutii sheria na kufuata taratibu.jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu wenye kufuata misingi ya utawala bora hakika ingekuwa ni sababu tosha za kuachia madarakani ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Labda pia tungefahamu mazingira yaliyopelekea yeye kutofika mahakamani kabla ya kujadili upande mmoja.
kumbuka Mbowe hakukamatwa bali alijisalimisha mwenyewe.
 
nge
Nijuavyo maelezo yalitolewa kuwa alikuwa anatekeleza majukumu yake ya kibunge, na mahakama ilipewa taarifa. Mbowe anatofauti na hao wengine kwa kuwa yeye ni kiongozi wa hao hivyo kimajukumu yeye anabanwa.
 
Kwa watu msiojua sheria:

kisheria maana ya dhamana ni* kwamba mtu asije kupotea* wakati kesi inaendelea, ndio maana unapomdhamini mtu anayefahamika na mwenye shughuli zake inakuwa rahisi kwa maana kwamba*** mtu huyo hatarajiwi kutoroka. Hivi Mbowe anaweza kutoroka kesi ya kipuuzi kama ya arusha? Lakini jambo jingine ni utaratibu mtu anapokuwa hakutokea mahakamani, imekuwa bahati mbaya sana mahakimu wetu kwa makusudi au kutokujua wamekuwa wakifanya kosa hili mara nyingi sana. Mtu sipofika wanatoa hati ya kumkamata. Kimsingi mtu asipofika anapaswa kupewa notisi ya kumuita na kumuuliza kwa nini hakufika, kama mahakama itaridhika na maelezo yake, anaonywa kuhuduria siku ingine na mambo yanakwisha.* Hii ya kumkamata mtu inatokea kwa mtu aliyeruka dhamana, yaani mtu katoweka na* ndio hoja ya kumkamata inapoibuka, anatafutwa akipatikana akamatwe,. na hili la wadhamini ndio upuuzi kabisa. Mdhami hana jukumu* la kwenda mahakamani, wajibu wa mdhamini ni kuhakikisha mtuhumiwa hatoroki, na kama ametoroka ndio unamatafuta mdhamini ili atekeleze masharti ya mkataba wa udhamini. Sasa unaagiza mdhamini wa mbowe akamatwe kama vile Mbowe hajulikani alipo! Usanii na senema kwa kwenda mbele.-

Mwalimu wako wa Sheria bado yupo hai?
 
Jeshi la polisi limeisha yapiga marufuku nchi nzima, nenda kaandamane sasa uone cha mtema kuni !

We fisi, usitufundishe uoga. Kwani polisi ndio nani? Kama wameacha kazi ya ya msingi na kuwa jeshi la ccm; we unategemea nini? Kwa hiyo hata polisi wakiua na kubaka familia yenu hutadai haki eti kwa kuwa watakuwa wamekupiga marufuku kudai haki?
 
Labda pia tungefahamu mazingira yaliyopelekea yeye kutofika mahakamani kabla ya kujadili upande mmoja.
kumbuka Mbowe hakukamatwa bali alijisalimisha mwenyewe.

Heshima kwako Saharavoice,

Mkuu ungetuwekea hayo mazingira yaliyosababisha Mbowe kutokufika mahakamani na wakati huo huo mazingira yaliyosababisha Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA kuhudhuria mahakamani.Mkuu usisahau mchumba wa Dr Slaa hakuhudhuria mahakamani lakini alitoa udhuru wa kutokufika na mahakama ikaukubali ndio maana katika sakata hili mchumba wa Dr Slaa hajasumbuliwa kabisa.Kulikuwa na ugumu gani mheshimiwa Mbowe kutumia njia aliyotumia mchumba wa Dr Slaa ?!
 
Nijuavyo maelezo yalitolewa kuwa alikuwa anatekeleza majukumu yake ya kibunge, na mahakama ilipewa taarifa. Mbowe anatofauti na hao wengine kwa kuwa yeye ni kiongozi wa hao hivyo kimajukumu yeye anabanwa.

Mkuu G Lema ni mbunge vile vile !.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Wakuu poleni na starehe za week end.

Wakuu ebu tuweke ushabiki pembeni tujadili hoja badala ya viroja nina maswali kadhaa naomba kujuzwa.

Kuna sababu gani za msingi zilizomfanya mwenyekiti wa CHADEMA asihudhurie mahakamani ?.Ni ubabe,dharau au ulimbukeni.Nasema hivyo kwasababu Mbowe,Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA wameshitakiwa kwenye mahakama hiyo hiyo na mashitaka hayo hayo ajabu iweje wenzake Dr Slaa na Lema watii na kuheshimu mahakama kwa Mbowe iwe tofauti !.Mheshimiwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani [ukipenda chama mbadala],ni kiongozi mkuu wa upinzani.Chama kinachotarajiwa kuchukua dola lazima kionyeshe mfano bora wa kutii sheria na kufuata taratibu.jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu wenye kufuata misingi ya utawala bora hakika ingekuwa ni sababu tosha za kuachia madarakani ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Naomba ukafanye utafiti halafu uje uandike kaka.
 
Gharama ya amani ni kubwa sana, tume sakrifaisi ili kuiweka jamii salama, Huyu ni mtu hatari sana kwa usalama wa taifa letu watumie tu hata ndege ya rais ikibidi.

we ni kidudu-mtu au kifutu? Au vyote kwa pamoja.hiyo nduge ya raisi wenu yenyewe FEKI,au hujui,hiyo sio ndege ya kumbebea MBOWE,ni ya kum bebea mhuni wenu.
 
Changu ni hiki nasema CCM kama wanaume sasa anzisheni maandamano kuunga mkono kukamatwa kwa Mbowe hapa Arusha tuwaonyeshe kuwa kweli tumechoka. Ndio mtajua Peoles power maana yake nini? PUMBAVU.
 
Awe makini sana na aina ya usafiri huu, maana wabaya wake ni rahisi sana kummaliza kwa style yankumtumbukiza kwenye mtaro. Au yaka mtokea yaliyompata mpambanaji wetu Pasco.

ndugu, nini kilimpata pasco, pole sana pasco! What real happen to this comred
 
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!

muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!

guess what??

Hawana tofauti na wafuasi wa kibwetere yaani ni kama vile wasabato masalia waamini watasafiri bila tiketi/passport wala visa hawa ni wehu!
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Wakuu poleni na starehe za week end.

Wakuu ebu tuweke ushabiki pembeni tujadili hoja badala ya viroja nina maswali kadhaa naomba kujuzwa.

Kuna sababu gani za msingi zilizomfanya mwenyekiti wa CHADEMA asihudhurie mahakamani ?.Ni ubabe,dharau au ulimbukeni.Nasema hivyo kwasababu Mbowe,Dr Slaa,Lema na viongozi kadhaa wa CHADEMA wameshitakiwa kwenye mahakama hiyo hiyo na mashitaka hayo hayo ajabu iweje wenzake Dr Slaa na Lema watii na kuheshimu mahakama kwa Mbowe iwe tofauti !.Mheshimiwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani [ukipenda chama mbadala],ni kiongozi mkuu wa upinzani.Chama kinachotarajiwa kuchukua dola lazima kionyeshe mfano bora wa kutii sheria na kufuata taratibu.jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu wenye kufuata misingi ya utawala bora hakika ingekuwa ni sababu tosha za kuachia madarakani ya uongozi ndani ya CHADEMA.

Naomba nijitangaze kuwa mimi ni mwalimu wa hesabu kwa viwango vya kimataifa kwa ngazi zote. Maswali yako ni yakihesabu zaidi. Kuna proof moja inaitwa Proof by Contradiction. Unathibitisha kitu kwa kutumia au kuamini mazingira ya uongo kuwa ni kweli. Ikithibitika kuwa uongo hupo ni kweli basi kinyume chake ndiyo ukweli. Tuje kwenye kipengele baada ya kipengele

Kutohudhuria mahakama bila sababu ya msingi kwa hiyo apewe adhabu tusema huo ndio ukweli, uongo wake ni kutohudhulia mahakama kwa sababu za msingi kwa hiyo aachiliwe. Tuthibitishe uongo huo kuwa ni kweli. Kakamatwa kwa amri ya mahakama ni kweli mahakama imemuachilia ni kweli angekuwa na hatia angeadhibiwa kwa kosa hakuadhibiwa anaendele na dhamana. Hitimisho ni kuwa uongo huo ni wa kweli kwa hiyo hakimu ameridhika kuwa ana sababu za msingi kutohudhuria mahakama amanaendelea na dhamana yake siyo dhamana mpya. Kwa hiyo Si ubabe,dharau wala ulimbukeni.

Mengine yote jiridhishe mwenyewe Mimi naona ni Tanzania pekee duniani kwenye ubabe,dharau na ulimbukeni dhidi ya vyama vya upinzani tu na hasa Chadema
 
Back
Top Bottom