Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
Wapi hakutumia busara?polisi kaenda mwenyewe, mbona hao polisi hawakumfuata mtaani?Sheria nadhani zipo wazi na zinaeleweka na linapotokea jambo la kusababisha maafa wahusika lazima wawajibike! nadhani hata mheshimiwa sana Mbowe alitakiwa atumie busara.
haya maigizo ya JK na CCM yake yataisha siku moja.
Politics kila mahali, ahadi hawatekelezi, umeme tu umemshinda, mgao kila kona kila siku!
Kuna maeneo ya Kigoma ambayo hayapo accessible kwa road, meli inapita mara moja kwa mwezi, kuna kituo kimoja cha afya, wamam wajawazito na watoto kufa ni kama kawaida huko..........na bado JK anafanya siasa na mawaziri wake. This is a big joke.
Hivhata hotuba za mwisho wa mwezi zimemshinda? hana cha kutuambia, hana anachokifanya, hakuna jipya.
Atatuambia nini kuhusu umeme? kwamba ameonana na CEO w Symbian power ambao wamenunua Dwans? kama CEO wa Symbian anakuja state house, unatuambia CEO wa Richmond na Dowans hawakuja statehouse? huyo wa Symbian ana tofauti gani hasa? INAUMA SANA!! USANII HUU UNAUMA SANA!!