Pengo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 579
- 10
inasikitisha kuona tuna rais ambaye haendeshi nchi kwa sheria , kama kweli masauni kagushi yeye ndio angehakikisha sheria inafuata mkondo lkn haishangazi hata mafisadi waliokwapua bot c'aliwapa muda warudishe fedha halafu akacheka, ila kumbuka ukiua kwa upnga nawewe kifo chako ni upanga huohuo .
Rais apeleki mtu mahakamani,hapo sheria ndio itakayofata mkondo na usishangae ukaambiwa masauni ameshitakiwa na jamhuri