Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Wao wanasema ni miaka 30. Sasa waangalie hawa kweli ni miaka 30?thanksMchukia Fisadi unaswali kama langu.Je kwa mujibu wa CCM kijana ni umri gani???
Wao wanasema ni miaka 30. Sasa waangalie hawa kweli ni miaka 30?thanksMchukia Fisadi unaswali kama langu.Je kwa mujibu wa CCM kijana ni umri gani???
Masauni kafanya kosa la jinai badala apelekwe ktk vyombo vya sheria JK anasema atapangiwa kazi nyingine...............Hata hivyo, Rais Kikwete alimfariji kijana huyo mpole na mzito kufanya maamuzi magumu na haraka, akisema kwakuwa ni makakamavu na mchapakazi atapangiwa kazi nyingine hapo baadaye.
Malaria imepanda kichwani
FMES Nadhani naye alikuwa Iringa. Sasa hivi yuko buzy Mtera akijinadi kwa wapiga kura.Kwa hiyo Malisa atakaimu uenyekiti? Nasikia wazee wao wa CC wanakutana leo pamoja na mengine ku-deliberate juu ya hali hii. FMES uko wapi? Tunakumiss sana kwenye suala hili.
ni kweli hakuna haja ya kutafuta mchawi kuhusu jambo hili lakini inatubidi kujiuliza maswali kadha.
Kwanza , kulikuwa na sababu gani kwa katibu mkuu (ccm) kusema kujiuzulu kwa masauni haikutokana na kugushi/kudanganya umri wake wakati hiyo ndiyo sababu kuu ambayo ilikuwa inajulikana kwa viongozi wakuu wa ccm na mwenyekiti ame confirm hilo.
Pili, kwa system yetu (shule, vyombo vya dola, kamati ya ulinzi na usalama (ya ccm), ndugu, jamaa na marafiki) kushindwa kujua miaka halisi ya huyu kijana. Katika mchakato wa kupata mwenyekiti wa vijana, issue ya age ilitawala sana. Sasa inakuaje watu wote walishindwa kulijua hilo na kuacha mpaka inakuwa issue miaka miwili ijayo.
FMES Nadhani naye alikuwa Iringa. Sasa hivi yuko buzy Mtera akijinadi kwa wapiga kura.
wanasheria mnasemaje kuhusu hili kosa la masauni kughushi umri? Je anaweza kushitakiwa? na kama atatiwa hatiani, adhabu yake ni nini?