Hataki niishi nyumba isiyo na umeme

Hataki niishi nyumba isiyo na umeme

Ila demu ana haki..na simu huwa una charge wapi..mimi siwezi kuishi nyumba ambayo haina umeme hata bure nila kulipa kodi

Kushindwa kulipa nyumba ya umeme no woga wa maisha

Demu yeye atakuwa anakuja kwako toka mchana..huna tv, huna radio..joto la Dar hana sehemu ya kucharge

Dah..demu wako kazi anayo

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka kuwa me kazin kwang nina kila kitu cha umeme(tv, star times dish, sabufa na feni ndo hua naangalizia huko), hata simu huchaji huko, hom narudi(gi) uck saa6 had7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtoto naona anaelekea kuachia mzigo cha kufanya hapo mwambie yeye akuongezee pesa ya chumba cha umeme maana siwezi kukulaumu kwa nn unakaa chumba cha giza any way tuache ayo fanya mpango mtoto afanye mishe za pesa hili upange chumba cha umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo c umm tatzo ni kuwa sitakuwa nikiutumia huo umm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbuka kuwa me kazin kwang nina kila kitu cha umeme(tv, star times dish, sabufa na feni ndo hua naangalizia huko), hata simu huchaji huko, hom narudi(gi) uck saa6 had7.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unajifikiria ww...fikiria demu atakaye kuwa anakuja kwako mchana, akikusubiri..akupikie, au na yeye unataka awe anakuja kwako uck wa manane

Acha kuwa mbinafsi..unamka na demu jumapili ..kwakuwa jumapili huendi job..simu utachaji wapi..huna tv huna jiko mnabaki kutazamana kama wababu

Kijana ukiwa unajipenda ndank kwako..hata demu utamvutia..hela huna, hata pa kuishi ni zaidi ya chokolaa..maana huna umeme. Hata ukishinda nyumbani..inabidi upige donee kwa majirani wakuchajie simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..

Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara ikaingia text "B uko wapi?" nikamjibu ndo nafka hom nikitoea ibaadani.. sasa basi kulingana na mimi kuwa busy juma zima siku ambayo nakuwa nje na kazi ni siku ya leo ambayo nakuwa nimepumzika kwa ajiri ya sabato..

Basi buana, kama nilivyokuwa nimemuomba no. zake akanipa, na kumtaka kuwa naye kimahusiano(bado hajanijibu chochote), jana nilimuomba leo aje tupige story za kawaida tu maana nitakuwa na mda.. mtoto kaja mpaka maghetto.

tumepiga story kama dk 15 hv akaanzisha mada amabayo imenichanganya mpaka hivi sasa.. yeye anadai nihamie nyumba ya umeme wakati mimi kwa upande wangu hua nipo busy wakati wote yaani hua natoka asubuhi saa1 na kurudi usiku saa6, so nikifka ghetto ni kuoga na kulala hadi asubuhi yake tena, kwa iyo nikihamia chumba cha umeme nitakuwa nalipa bill ya umeme 4nothing.

Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme eti kwa kigezo cha kama akiwa anakuja kunisabahi atakuwa akiboeka kukaa sehemu ilio kimya maana hata ka- music ana ka TV hakatakuwa kakim'burudisha.

Swali langu ni je, nihamie nyumba ya umeme ili nimfurahishe mchumba, ama nisihamie kitu ambacho kitamuudhi shemela/wifi yenu nifanye nini!!? Ushauri tafadhari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta umeme nyumbani kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unajifikiria ww...fikiria demu atakaye kuwa anakuja kwako mchana, akikusubiri..akupikie, au na yeye unataka awe anakuja kwako uck wa manane

Acha kuwa mbinafsi..unamka na demu jumapili ..kwakuwa jumapili huendi job..simu utachaji wapi..huna tv huna jiko mnabaki kutazamana kama wababu

Kijana ukiwa unajipenda ndank kwako..hata demu utamvutia..hela huna, hata pa kuishi ni zaidi ya chokolaa..maana huna umeme. Hata ukishinda nyumbani..inabidi upige donee kwa majirani wakuchajie simu

Sent using Jamii Forums mobile app
ni zaidi ya povu.. ni nouma!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom