Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,920
- Thread starter
- #101
Siku6 fanya kazi, utende mambo yako yote lakini siku ya7 ni sabato ya bwana mungu wako,
si vyema kufanya kama unavyosema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku6 fanya kazi, utende mambo yako yote lakini siku ya7 ni sabato ya bwana mungu wako,
hv maana ya aku ni nn?? maana siku za hv karibun nimesikia wadada wengi wakitumia haka kamsemo!!
Hata mimi sijui nimetumia tuhv maana ya aku ni nn?? maana siku za hv karibun nimesikia wadada wengi wakitumia haka kamsemo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849]Khantwe umeshanifelisha sasa dada angu!!
Da vitu vya Siri si ungekaa navyo uko bila ku sharetatizo si kuwapanga, tatizo ni kuwa nyie mnataka kuona/kudadisi hadi vitu vyangu vya siri, mm ninachotaka hapa in ushauri tu na wala si kukaguana eboo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mungu hakusema tuje kuzaliana?Siku6 fanya kazi, utende mambo yako yote lakini siku ya7 ni sabato ya bwana mungu wako,
si vyema kufanya kama unavyosema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
jf kuna watu ingepaswa muwe kwenye criminal investigation department yani mkuu umeshajua kuwa jamaa kajichatisha mwenyewe!Mkuu naona umeamua kujichatisha,maana ukiangalia uzi umeuleta lisaa limoja lilopita na hii Conversation imeanzia 16:21 kwa maana hiyo hata lisaa bado!
hata mimi nimefanya maksudi..!! Maana watu wanapenda sana kuchimbua hadi aibu asee!!jf kuna watu ingepaswa muwe kwenye criminal investigation department yani mkuu umeshajua kuwa jamaa kajichatisha mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi akuunganishie umeme kwenye hiyo chura yake maana naskia kuna umeme wa kinyesi mkuu!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]Basi akuunganishie umeme kwenye hiyo chura yake maana naskia kuna umeme wa kinyesi mkuu!
Hadi sahv watu bado mnapanga chumba cha giza!Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..
Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara ikaingia text "B uko wapi?" nikamjibu ndo nafka hom nikitoea ibaadani.. sasa basi kulingana na mimi kuwa busy juma zima siku ambayo nakuwa nje na kazi ni siku ya leo ambayo nakuwa nimepumzika kwa ajiri ya sabato..
Basi buana, kama nilivyokuwa nimemuomba no. zake akanipa, na kumtaka kuwa naye kimahusiano(bado hajanijibu chochote), jana nilimuomba leo aje tupige story za kawaida tu maana nitakuwa na mda.. mtoto kaja mpaka maghetto.
tumepiga story kama dk 15 hv akaanzisha mada amabayo imenichanganya mpaka hivi sasa.. yeye anadai nihamie nyumba ya umeme wakati mimi kwa upande wangu hua nipo busy wakati wote yaani hua natoka asubuhi saa1 na kurudi usiku saa6, so nikifka ghetto ni kuoga na kulala hadi asubuhi yake tena, kwa iyo nikihamia chumba cha umeme nitakuwa nalipa bill ya umeme 4nothing.
Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme eti kwa kigezo cha kama akiwa anakuja kunisabahi atakuwa akiboeka kukaa sehemu ilio kimya maana hata ka- music ana ka TV hakatakuwa kakim'burudisha.
Swali langu ni je, nihamie nyumba ya umeme ili nimfurahishe mchumba, ama nisihamie kitu ambacho kitamuudhi shemela/wifi yenu nifanye nini!!? Ushauri tafadhari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatariii mkuu mm nilijuaga vyumba vya giza vilisha kwishakumbe unaweza kuwa member wa jf na unaishi chumba kisicho na umeme!
Sent using Jamii Forums mobile app
nitajitahidi kuendelea, sitakubali maendeleo ya huyu bi dada yabaki nyuma!!mkuu mwanaume mweny mwanamke ni rahisi kuendelea hiyo ndio definition
Sent using Jamii Forums mobile app