Hataki niishi nyumba isiyo na umeme

Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme

Siku ya sabato!!
 
ni sawa lkn kumbuka hiz ni conversation za kawaida kwa kwa me&ke. kibaya ni kuomba tendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, nakumbuka enzi hizoo niliambiwa siwezi kupewa mzigo mpaka nikapange nyumba nzima, siyo kwenye kichumba.

Fanya fasta uhame mazee, siku hiyo hiyo unamwambia aje kukusaidia kuhamisha vitu unakula na mzigo.
 
ndio hiyo hapo screen short
Screenshot_20190209-163853.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom