King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,204
- 1,322
[emoji3] [emoji3] niliwaambia kua I smell a rat sasa mmeamini angalieni iyo chatting time yake wakuu jamaa alikua anajichatisha gad damn it dude
[emoji3] [emoji3] niliwaambia kua I smell a rat sasa mmeamini angalieni iyo chatting time yake wakuu jamaa alikua anajichatisha gad damn it dude
Nawewe ume note mkuu yani jf sikuiz raia igiza bila kwenda location[emoji3]Mkuu naona umeamua kujichatisha,maana ukiangalia uzi umeuleta lisaa limoja lilopita na hii Conversation imeanzia 16:21 kwa maana hiyo hata lisaa bado!
nimefanya maksud ili nikusikie utasemaje piah niongeze quotes, kwan me nlikuw cjui kama time ipo ktk kila text massage!!? Amin kwa kuambiwa na si lazima hadi uone!![emoji3] [emoji3] niliwaambia kua I smell a rat sasa mmeamini angalieni iyo chatting time yake wakuu jamaa alikua anajichatisha gad damn it dude
maneno makali sana haya, busara hata kidogo itumike jamaniHata kama huna uwezo force kingi tu asee. Utaishije kama zombie?
Mimi umeme ukikatika hata dakika mbili hata kama sina matumizi nao huwa natukania tanesco mpaka wizarani
Sawa mkubwa
Hakuna kitu hapo endelea kuwapanga wengine, first story wakati unaileta ilikua ina ka ukweli but this kwa sisi wakongwe tunasoma afu tunasema Hiiiiiiiiiinimefanya maksud ili nikusikie utasemaje piah niongeze quotes, kwan me nlikuw cjui kama time ipo ktk kila text massage!!? Amin kwa kuambiwa na si lazima hadi uone!!
Sent using Jamii Forums mobile app
watu hawatakiwi kujua jua sana, summary inatosha si hadi mtu umchimbue mpaka ujue anafanya nn[emoji847][emoji847]Nawewe ume note mkuu yani jf sikuiz raia igiza bila kwenda location[emoji3]
kwanza kingine nlichohofia ni watu kutake advantage ya kuchukua no yake kwa screen short.. Sitaki kumkoswa kizembe hv aseee!!Hakuna kitu hapo endelea kuwapanga wengine, first story wakati unaileta ilikua ina ka ukweli but this kwa sisi wakongwe tunasoma afu tunasema Hiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 1017930
Boss au umefanya makusudi km ulivyosema hp juu?
Ndio maana naipenda jf,kudanganyana kama fb hakupo huku,ukidanganya unapewa za uso fasta,akijubu hili nitag mkuuMkuu naona umeamua kujichatisha,maana ukiangalia uzi umeuleta lisaa limoja lilopita na hii Conversation imeanzia 16:21 kwa maana hiyo hata lisaa bado!
Bwana mdogo msabato chai yako ya jion hii atuitaki too many tangawizi kwa leowatu hawatakiwi kujua jua sana, summary inatosha si hadi mtu umchimbue mpaka ujue anafanya nn[emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
si kweli..!!Bwana mdogo msabato chai yako ya jion hii atuitaki too many tangawizi kwa leo
Du bwana mdogo ngoja nikuonyeshe tunavyo fanyagakwanza kingine nlichohofia ni watu kutake advantage ya kuchukua no yake kwa screen short.. Sitaki kumkoswa kizembe hv aseee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ndo tunavyo fanya bwana mdogokwanza kingine nlichohofia ni watu kutake advantage ya kuchukua no yake kwa screen short.. Sitaki kumkoswa kizembe hv aseee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ndo tunavyo fanya bwana mdogoView attachment 1017951
hapo nimekusoma, nikichat nae usiku kuhus kilichotoke mchana ntakuja hapa na screen short really..Ivi ndo tunavyo fanya bwana mdogoView attachment 1017951