Hataki niishi nyumba isiyo na umeme

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,196
2,000
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..

Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara ikaingia text "B uko wapi?" nikamjibu ndo nafka hom nikitoea ibaadani.. sasa basi kulingana na mimi kuwa busy juma zima siku ambayo nakuwa nje na kazi ni siku ya leo ambayo nakuwa nimepumzika kwa ajiri ya sabato..

Basi buana, kama nilivyokuwa nimemuomba no. zake akanipa, na kumtaka kuwa naye kimahusiano(bado hajanijibu chochote), jana nilimuomba leo aje tupige story za kawaida tu maana nitakuwa na mda.. mtoto kaja mpaka maghetto.

tumepiga story kama dk 15 hv akaanzisha mada amabayo imenichanganya mpaka hivi sasa.. yeye anadai nihamie nyumba ya umeme wakati mimi kwa upande wangu hua nipo busy wakati wote yaani hua natoka asubuhi saa1 na kurudi usiku saa6, so nikifka ghetto ni kuoga na kulala hadi asubuhi yake tena, kwa iyo nikihamia chumba cha umeme nitakuwa nalipa bill ya umeme 4nothing.

Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme eti kwa kigezo cha kama akiwa anakuja kunisabahi atakuwa akiboeka kukaa sehemu ilio kimya maana hata ka- music ana ka TV hakatakuwa kakim'burudisha.

Swali langu ni je, nihamie nyumba ya umeme ili nimfurahishe mchumba, ama nisihamie kitu ambacho kitamuudhi shemela/wifi yenu nifanye nini!!? Ushauri tafadhari..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,095
2,000
Mbali na kumfurahisha yoyote.
Umeme ni muhimu kama unaweza ku afford.
Usiishi kwako kama ndege anayeishi kwenye kiota ni kulala na kukimbia.
Hushindwi kuwa hauna hata jiko wewe, kisa hauna muda wa kupika.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,196
2,000
Mbali na kumfurahisha yoyote.
Umeme ni muhimu kama unaweza ku afford.
Usiishi kwako kama ndege anayeishi kwenye kiota ni kulala na kukimbia.
Hushindwi kuwa hauna hata jiko wewe kisa hauna muda wa kupika.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
lkn kumbuka me hua nakula kantini January 2 December

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King Elly

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,128
2,000
Kwa mlio na kumbukumbu, j'5 kama sikosei nilileta ka- thread ambako niliwaomba ushauri kuhusu bi dada flani hivi anaekuja(ga) kuweka pesa kazini kwangu..

Sasa basi leo nikiwa natoka church, mara ikaingia text "B uko wapi?" nikamjibu ndo nafka hom nikitoea ibaadani.. sasa basi kulingana na mimi kuwa busy juma zima siku ambayo nakuwa nje na kazi ni siku ya leo ambayo nakuwa nimepumzika kwa ajiri ya sabato..

Basi buana, kama nilivyokuwa nimemuomba no. zake akanipa, na kumtaka kuwa naye kimahusiano(bado hajanijibu chochote), jana nilimuomba leo aje tupige story za kawaida tu maana nitakuwa na mda.. mtoto kaja mpaka maghetto.

tumepiga story kama dk 15 hv akaanzisha mada amabayo imenichanganya mpaka hivi sasa.. yeye anadai nihamie nyumba ya umeme wakati mimi kwa upande wangu hua nipo busy wakati wote yaani hua natoka asubuhi saa1 na kurudi usiku saa6, so nikifka ghetto ni kuoga na kulala hadi asubuhi yake tena, kwa iyo nikihamia chumba cha umeme nitakuwa nalipa bill ya umeme 4nothing.

Sasa basi wadau naombeni mnishauri, bi dada wa watu bado hajatoa jibu la moja kwa moja kama amenikubalai ombi lang la kuwa nae, ila anadai hawezi kuwa na mtu ambaye naishi nyumba isiyo na umeme eti kwa kigezo cha kama akiwa anakuja kunisabahi atakuwa akiboeka kukaa sehemu ilio kimya maana hata ka- music ana ka TV hakatakuwa kakim'burudisha.

Swali langu ni je, nihamie nyumba ya umeme ili nimfurahishe mchumba, ama nisihamie kitu ambacho kitamuudhi shemela/wifi yenu nifanye nini!!? Ushauri tafadhari..

Sent using Jamii Forums mobile app
I smell a rat

Mtoto wa kiume utakiwi kutumia maneno Kama

Buana badala ya BWANA
Shemela badala ya shemeji

Ka chai aka tunaomba uambatanishe screenshot ya conservation zenu najua utakua umesha chati naye then ndo tukupe ushaur
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom