Kenya na kibanzi cha jirani, akisahau boriti ndani ya nyumba yake

Leslie Mbena

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
207
677
KENYA NA KIBANZI CHA JIRANI,AKISAHAU BORITI NDANI YA NYUMBA YAKE.

Leo 20:30pm 19/05/2020

Kenya hivi leo imefikisha visa 900 vya wagonjwa wa corona wakiwa wanaendelea kujifungia ndani huku Tanzania ikibakiwa na visa 500 hakuna mtu aliyefungiwa ndani,shughuli zinaendelea kama kawaida,

Rai yangu ni kuiambia Kenya iache kushupaa na Tanzania,ielekeze nguvu zake kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaongezeka kila leo,Wakenya waache uvivu,watoke nje wakachape kazi,wasitegemee Watanzania wafanye kazi halafu wao waje kuomba chakula.

Kenya ni sawa na banda la uani la Tanzania,Kenya anapofunga mipaka,maana yake anaifungia njia nyumba kubwa,Kenya anaitegemea mno Tanzania kuendesha maisha ya Wananchi wake,Kenya haina tena eneo la soko wala Uwekezaji,mfumo wao wa kibepari umewaruhusu watu wachache kuimiliki ardhi yote ya Kenya na kuwaacha Wananchi wa Kenya kuwatumikia mabepari wachache,

80% ya nchi ya Kenya haizalishi chakula wanaitegemea sana Tanzania,Hivi jamani kuna bidhaa,kubwa kuliko misosi
Kenya imekuwa ikinunua mahindi,mchele,viazi,vitunguu,nyanya kutoka Tanzania,Uwepo wa soko na Viwanda vya mazao ya kilimo mfano pale Longido,kumewanufaisha wakulima na Wafanyabiashara wote wa Kenya na Tanzania.

Wananchi wa Kenya hawana tofauti na Wananchi wa China,hawawezi tena kuendesha maisha yao kwa kutegemea ardhi yao ya Kenya,ni lazima watoke ili wakatafute nje ya Kenya, Tanzania ndio kimbilio lao,kama soko,sehemu ya kuwekeza kwa maana ya place of investment,

Actually, wao ndio lead investors hapa Tanzania,wanaongoza kwa kuhonga ili wapate kuishi Tanzania,Wakenya wengi muda wao ukiisha wanajificha jificha mitaani,hawataki kurudi kwao,adabu hawana wanapenda kuishi Tanzania lakini wanadharau Watanzania,

Yes,Watanzania ni wapole sana kutokana na malezi ya Ujamaa kupitia sera ya Mwalimu Julius Nyerere,Watanzania ni wapole kwa sababu wamezoea kuwakarimu wageni wote wajao Tanzania,Tanzania imekuwa nyumbani kwa kila Taifa la Afrika tangu wakati wa kupigania Uhuru,

Yes,Watanzania ni wapole wamelelewa Kijamaa na si kibepari,lakini upole wa Watanzania upo kwenye undugu tu,utapobadilika na kuwa mtu unayeweza kula mtu mwenzie basi Mtanzania atakushikisha adabu kama ilivyomshikisha adabu Nduli Iddi Amini,Niseme tu Tanzania haihitaji Kenya kama Kenya inavyohiitaji Tanzania,We don't need them at all.

Niwaambie Wakenya ya kwamba Tanzania si wepesi kama wanavyodhani, kidiplomasia Tanzania inaongoza sana ndio maana tumekuwa nyumbani kwa kila Mwafrika,Kiintelijensia Tanzania is very smart,Kivita ni Wakongwe,muulizeni Nduli Iddi Amini Dada,

Kiuchumi Tanzania si wamchanga ndio maana hivi leo kila Mkenya anataka kuja kuwekeza Tanzania,Sasa Niwaambie tusifatane fatane,Tanzania ndio taifa baba,Taifa ambalo liliwahi kutoa ndege yake kubwa kuacha safari za biashara na kupeleka Jeshi la Wananchi wa Tanzania,kwenda kuikomboa Msumbiji toka kwa Mkoloni.

Tanzania imekuwa nchi ya diplomasia sana na kusababisha kujiumiza,Ndio diplomasia zimeumiza nchi hii sana wakati wenzetu wakiweka jeuri na sura ya kazi, sasa hapana you do me i do you simple,

Binafsi mwaka 1998 nilienda Kenya kuanza form one,nikaambiwa nirudie darasa la nane kwa kuwa natoka Tanzania sina akili,wakaendelea kuniambia nikimaliza form four nikirudi Tanzania nitakuwa Prime Minister,niliwacheki,,

Nilivyofika form two ,Wakenya wenyewe walianzisha vurugu nami nilihakikisha ile Shule vioo vyote haina,kesho yake tukafukuzwa,nilienda kuchukua pupils pass yangu kwa Head Mistress nikiwa ofisini kwake akaniwasha kibao bila sababu,

Nikasema amesahau niliwahi kukaa na hasira toka darasa la nane hadi form two,lakini Mimi nimelelewa vyema na nchi yangu Tanzania,nikatabasamu badala ya kulia,Leo hii wao wanalia kuomba kukaa Tanzania kufanya kazi,wakati wa Uchaguzi wao Mkuu nilipokea simu za watu thelathini wakiomba kuja Tanzania kama mambo yatakuwa magumu nchini kwao,

Watanzania tumekuwa na huruma na majirani zetu na Afrika nzima kwa ujumla,Kenya hawana hii huruma tuliyokuwa nayo,Wakenya wako kwa ajili ya Kenya Kwanza halafu Tanzania baadaye,Wakenya katika akili zao jinsi wanavyoongea kiingereza,wanajiona Tanzania kama koloni lao,

Kama Wakenya wangekuwa na nia njema kwa nchi yetu wasingefanya ujinga huu wa kuwazushia madereva wetu Wana corona halafu madereva wao wanaoingia Tanzania na kukaa wiki hadi wiki mbili wakirudi kwao hawana corona,Je Tanzania wanayotoka madereva wetu na wanayokwenda madereva wao ni Tanzania mbili tofauti!?.

Manyanyaso waliyoyapata Madereva wetu kuingia Kenya ni makubwa sana yasiyo na utu,Juzi kuna dereva akihojiwa alisema amepata hasara ya lori lake la nyanya kuharibika baada ya kuzuiwa kuingia Kenya wakati wao Wakenya walikuwa wanaruhusiwa kuingia Tanzania bila bugdha,

Juzi madereva wenzake wamerudishwa Tanzania na magari ya mizigo yao eti wanakorona na walikuwa wamekaa kusubiri vipimo kwa siku karibu tano,hasara ya muda na mali nani atawalipa,

Wakati media za Kenya zikimkejeli Rais Magufuli sikuona watu wakianzisha uzi, lakini nimeona mtu kasema
All of this its because of that drunkard spoiled kid, Atajuta kuanzisha maneno ya khanga bila kucheck situation ya pande zote akijua yeye anaitegemea sana Tanzania,Kila akisikia kauli kuwa mikopo ya China,mikopo ya corona yeye ulewa na kwenda kuisaini,

Nimalizie kwenu ninyi maadui wa Tanzania mlio ndani na nje ya Tanzania,ninyi bado ni vichwa panzi na waka bado hamuwezi kuelewa!

Bado tupo kwenye domination ya mzungu!
Ni wao ndio waliokata mipaka ya nchi huku Afrika!Ninyi vichwa panzi mmelisahau hilo na kuwa waenda hovyo! Niliwauliza mara ya kwanza Uhuru alipotangaza kufunga mpaka,mnajua maana yake!? na athari zake hasa kwake yeye Uhuru na Kenya yake,

Kuna mahali niliandika kuwa Mimi naiamini Serikali yangu ya Tanzania na Rais wangu John Magufuli kwa sababu nnazozijua Mimi! na kamwe hatutakaa tudharauliwe na watu wanaotutegemea sisi hata kwa chakula,

Wengi hawaelewi kuwa Kuna vita za maneno tu na zinatosha kushusha hadhi ya nchi pamoja na uchumi!! Tunaendelea kurekebishana na kwa baadhi ambao wanaina kila kitu kitakachofanywa na serikali huwa wanaona serikali inawaonea waendelee kuvumilia tunapoendelea kulinda heshima yetu na kuitokomeza dharau,

Watanzania ni baba lao,ukitazama Burundi mpaka sasa mafuta ya kupikia wanaimport toka Kigoma,unga unatoka Kigoma,Rwanda hiyo mbali na kuipora Congo, hakuna walicho nacho kabisa maana kama Ng'ombe sisi ndio wazalishaji wakubwa Afrika Mashariki na pengine Afrika nzima,

Uganda kidogo ndio tunaenda nao sambamba ila bado hawatukuti kwa madini,Sasa turudi Kenya mpaka mbao na nguzo za umeme bila Tanzania wanawasha koroboi. Leo hii wanajitangaza na Mlima wetu wa Kilimanjaro,yaani hawana kitu cha kujivunia ni kuibia ibia tu na kuishi kimkanda mkanda,Naipenda Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854
 
Mkuu Tambua
Kenya inatumika na Mabwana zao kutochokoa, kilichofanyika Mzeee Baba hajaongea chochote, Kenyatta akafanyiwa Suprise na RCs wa Kmanjaro, Tanga na Mara sijui Wazir Kabudi atakuja na kipi dhidi yake na Mwisho wa Siku tusubiri Zegge la LAVA kutoka kwa Namba 1 kuwakata kilimilimi hau Nyang'au paka pori.
 
May 19, 2020
Nairobi, Kenya

Tanzania yaongoza kwa corona
Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk vivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya.

Idadi kubwa ni waTanzania na wizara ya Afya Kenya wasifu kuweza kudhibiti korona kutoka Tanzania isiingie Kenya

Takwimu zinasema vipimo ktk vivuko vya mpakani mwa Tanzania na Kenya ni kuwa sampuli 214 zilionekana kuwa na virus vya korona. Sampuli 182 corona positive ni kutoka Tanzania huku 32 ni za waKenya waliogundulika kuwa na corona. Hivyo waziri wa Afya wa Kenya asema anachoweza kusema ni kutoa ushauri serikali ya Tanzania iongeze kampeni kudhibiti kuenea kwa corona.
 
May 19, 2020
Nairobi, Kenya

Tanzania yaongoza kwa corona
Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk kivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya.

Idadi kubwa ni waTanzania na wizara ya Afya Kenya wasifu kuweza kudhibiti korona kutoka Tanzania isiingie Kenya

Takwimu zinasema vipimo ktk vivuko vya mpakani mwa Tanzania na Kenya ni kuwa sampuli 214 zilionekana kuwa na virus vya korona. Sampuli 182 corona positive ni kutoka Tanzania huku 32 ni za waKenya waliogundulika kuwa na corona. Hivyo waziri wa Afya wa Kenya asema anachoweza kusema ni kutoa ushauri serikali ya Tanzania iongeze kampeni kudhibiti kuenea kwa corona.
Wangefanya hivyo sio kutesa madereva mpakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walibip sasa wamepigiwa wacha wayaone
Mkuu Tambua
Kenya inatumika na Mabwana zao kutochokoa, kilichofanyika Mzeee Baba hajaongea chochote, Kenyatta akafanyiwa Suprise na RCs wa Kmanjaro, Tanga na Mara sijui Wazir Kabudi atakuja na kipi dhidi yake na Mwisho wa Siku tusubiri Zegge la LAVA kutoka kwa Namba 1 kuwakata kilimilimi hau Nyang'au paka pori.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KENYA NA KIBANZI CHA JIRANI,AKISAHAU BORITI NDANI YA NYUMBA YAKE.

Leo 20:30pm 19/05/2020

Kenya hivi leo imefikisha visa 900 vya wagonjwa wa corona wakiwa wanaendelea kujifungia ndani huku Tanzania ikibakiwa na visa 500 hakuna mtu aliyefungiwa ndani,shughuli zinaendelea kama kawaida,

Rai yangu ni kuiambia Kenya iache kushupaa na Tanzania,ielekeze nguvu zake kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaongezeka kila leo,Wakenya waache uvivu,watoke nje wakachape kazi,wasitegemee Watanzania wafanye kazi halafu wao waje kuomba chakula.

Kenya ni sawa na banda la uani la Tanzania,Kenya anapofunga mipaka,maana yake anaifungia njia nyumba kubwa,Kenya anaitegemea mno Tanzania kuendesha maisha ya Wananchi wake,Kenya haina tena eneo la soko wala Uwekezaji,mfumo wao wa kibepari umewaruhusu watu wachache kuimiliki ardhi yote ya Kenya na kuwaacha Wananchi wa Kenya kuwatumikia mabepari wachache,

80% ya nchi ya Kenya haizalishi chakula wanaitegemea sana Tanzania,Hivi jamani kuna bidhaa,kubwa kuliko misosi
Kenya imekuwa ikinunua mahindi,mchele,viazi,vitunguu,nyanya kutoka Tanzania,Uwepo wa soko na Viwanda vya mazao ya kilimo mfano pale Longido,kumewanufaisha wakulima na Wafanyabiashara wote wa Kenya na Tanzania.

Wananchi wa Kenya hawana tofauti na Wananchi wa China,hawawezi tena kuendesha maisha yao kwa kutegemea ardhi yao ya Kenya,ni lazima watoke ili wakatafute nje ya Kenya, Tanzania ndio kimbilio lao,kama soko,sehemu ya kuwekeza kwa maana ya place of investment,

Actually, wao ndio lead investors hapa Tanzania,wanaongoza kwa kuhonga ili wapate kuishi Tanzania,Wakenya wengi muda wao ukiisha wanajificha jificha mitaani,hawataki kurudi kwao,adabu hawana wanapenda kuishi Tanzania lakini wanadharau Watanzania,

Yes,Watanzania ni wapole sana kutokana na malezi ya Ujamaa kupitia sera ya Mwalimu Julius Nyerere,Watanzania ni wapole kwa sababu wamezoea kuwakarimu wageni wote wajao Tanzania,Tanzania imekuwa nyumbani kwa kila Taifa la Afrika tangu wakati wa kupigania Uhuru,

Yes,Watanzania ni wapole wamelelewa Kijamaa na si kibepari,lakini upole wa Watanzania upo kwenye undugu tu,utapobadilika na kuwa mtu unayeweza kula mtu mwenzie basi Mtanzania atakushikisha adabu kama ilivyomshikisha adabu Nduli Iddi Amini,Niseme tu Tanzania haihitaji Kenya kama Kenya inavyohiitaji Tanzania,We don't need them at all.

Niwaambie Wakenya ya kwamba Tanzania si wepesi kama wanavyodhani, kidiplomasia Tanzania inaongoza sana ndio maana tumekuwa nyumbani kwa kila Mwafrika,Kiintelijensia Tanzania is very smart,Kivita ni Wakongwe,muulizeni Nduli Iddi Amini Dada,

Kiuchumi Tanzania si wamchanga ndio maana hivi leo kila Mkenya anataka kuja kuwekeza Tanzania,Sasa Niwaambie tusifatane fatane,Tanzania ndio taifa baba,Taifa ambalo liliwahi kutoa ndege yake kubwa kuacha safari za biashara na kupeleka Jeshi la Wananchi wa Tanzania,kwenda kuikomboa Msumbiji toka kwa Mkoloni.

Tanzania imekuwa nchi ya diplomasia sana na kusababisha kujiumiza,Ndio diplomasia zimeumiza nchi hii sana wakati wenzetu wakiweka jeuri na sura ya kazi, sasa hapana you do me i do you simple,

Binafsi mwaka 1998 nilienda Kenya kuanza form one,nikaambiwa nirudie darasa la nane kwa kuwa natoka Tanzania sina akili,wakaendelea kuniambia nikimaliza form four nikirudi Tanzania nitakuwa Prime Minister,niliwacheki,,

Nilivyofika form two ,Wakenya wenyewe walianzisha vurugu nami nilihakikisha ile Shule vioo vyote haina,kesho yake tukafukuzwa,nilienda kuchukua pupils pass yangu kwa Head Mistress nikiwa ofisini kwake akaniwasha kibao bila sababu,

Nikasema amesahau niliwahi kukaa na hasira toka darasa la nane hadi form two,lakini Mimi nimelelewa vyema na nchi yangu Tanzania,nikatabasamu badala ya kulia,Leo hii wao wanalia kuomba kukaa Tanzania kufanya kazi,wakati wa Uchaguzi wao Mkuu nilipokea simu za watu thelathini wakiomba kuja Tanzania kama mambo yatakuwa magumu nchini kwao,

Watanzania tumekuwa na huruma na majirani zetu na Afrika nzima kwa ujumla,Kenya hawana hii huruma tuliyokuwa nayo,Wakenya wako kwa ajili ya Kenya Kwanza halafu Tanzania baadaye,Wakenya katika akili zao jinsi wanavyoongea kiingereza,wanajiona Tanzania kama koloni lao,

Kama Wakenya wangekuwa na nia njema kwa nchi yetu wasingefanya ujinga huu wa kuwazushia madereva wetu Wana corona halafu madereva wao wanaoingia Tanzania na kukaa wiki hadi wiki mbili wakirudi kwao hawana corona,Je Tanzania wanayotoka madereva wetu na wanayokwenda madereva wao ni Tanzania mbili tofauti!?.

Manyanyaso waliyoyapata Madereva wetu kuingia Kenya ni makubwa sana yasiyo na utu,Juzi kuna dereva akihojiwa alisema amepata hasara ya lori lake la nyanya kuharibika baada ya kuzuiwa kuingia Kenya wakati wao Wakenya walikuwa wanaruhusiwa kuingia Tanzania bila bugdha,

Juzi madereva wenzake wamerudishwa Tanzania na magari ya mizigo yao eti wanakorona na walikuwa wamekaa kusubiri vipimo kwa siku karibu tano,hasara ya muda na mali nani atawalipa,

Wakati media za Kenya zikimkejeli Rais Magufuli sikuona watu wakianzisha uzi, lakini nimeona mtu kasema
All of this its because of that drunkard spoiled kid, Atajuta kuanzisha maneno ya khanga bila kucheck situation ya pande zote akijua yeye anaitegemea sana Tanzania,Kila akisikia kauli kuwa mikopo ya China,mikopo ya corona yeye ulewa na kwenda kuisaini,

Nimalizie kwenu ninyi maadui wa Tanzania mlio ndani na nje ya Tanzania,ninyi bado ni vichwa panzi na waka bado hamuwezi kuelewa!

Bado tupo kwenye domination ya mzungu!
Ni wao ndio waliokata mipaka ya nchi huku Afrika!Ninyi vichwa panzi mmelisahau hilo na kuwa waenda hovyo! Niliwauliza mara ya kwanza Uhuru alipotangaza kufunga mpaka,mnajua maana yake!? na athari zake hasa kwake yeye Uhuru na Kenya yake,

Kuna mahali niliandika kuwa Mimi naiamini Serikali yangu ya Tanzania na Rais wangu John Magufuli kwa sababu nnazozijua Mimi! na kamwe hatutakaa tudharauliwe na watu wanaotutegemea sisi hata kwa chakula,

Wengi hawaelewi kuwa Kuna vita za maneno tu na zinatosha kushusha hadhi ya nchi pamoja na uchumi!! Tunaendelea kurekebishana na kwa baadhi ambao wanaina kila kitu kitakachofanywa na serikali huwa wanaona serikali inawaonea waendelee kuvumilia tunapoendelea kulinda heshima yetu na kuitokomeza dharau,

Watanzania ni baba lao,ukitazama Burundi mpaka sasa mafuta ya kupikia wanaimport toka Kigoma,unga unatoka Kigoma,Rwanda hiyo mbali na kuipora Congo, hakuna walicho nacho kabisa maana kama Ng'ombe sisi ndio wazalishaji wakubwa Afrika Mashariki na pengine Afrika nzima,

Uganda kidogo ndio tunaenda nao sambamba ila bado hawatukuti kwa madini,Sasa turudi Kenya mpaka mbao na nguzo za umeme bila Tanzania wanawasha koroboi. Leo hii wanajitangaza na Mlima wetu wa Kilimanjaro,yaani hawana kitu cha kujivunia ni kuibia ibia tu na kuishi kimkanda mkanda,Naipenda Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam,
0755078854
We 'giniasi' ....haya madini uliyotema hapa huwa yanatemwa na aidha maginiasi au wenye 'pihechidi'
 
Wasameheni bure Kenya majirani zetu, wapo katika "igizo" la kumfurahisha IMF na mabwana zao, kwa wazee wenzangu mnakumbuka ile mbinu ya kubumba takwimu za "vifo na Wakonjwa wa UKIMWI miaka hiyo ili kupata ufadhiri, enzi za kila mtaa kuna NGO inayohudumia wagonjwa na Yatima! Kenya wapo kwenye enzi hizo, bahati mbaya hata huko wanapo kopi tayari screen imeanza kuonyesha majina ya wahusika....
 
Tulikuwa na vita ya kiuchumi na Kenya kitambo sana
Sahvi corona ndiyo imefanya ionekane

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom