James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,530
- 16,253
Dada imebidi nisome uzi wako wa mwanzo.
Sababu yako ni nyepesi mno na umewadharau mume na mkwe wako ungekaa palepale.
Wao hawakukukataa.
Walitaka ulee mtoto akiwa kwao.
Nb
Kama ni mkristo ukiposwa, pande zote mbili za wazazi wakakubali, tena mkazaa na mtoto na mahari na pesa ya uharibifu ikalipwa wewe ni MKE tayari na usimuone jamaa mjinga kutochukua hiyo mahari anajua anachokifanya....hakuna mtu atakayejua story yako halafu atake kukuoa ikiwa mahari jamaa hajachukua.
What to do!
Go back kwa mama yako mkwe!