Hataki kuchukua mahari yake nifanyeje??

Hataki kuchukua mahari yake nifanyeje??

Status
Not open for further replies.
Natamani kujua sababu ya kuachana kwenu. Kwanini mnataka kumsumbua huyu mtoto asie na hatia?
 
Ndio wanaume mnavyojidanganya hivyo kwamba ukishazaa uwezekano wa kuolewa ni mdogo? Na ndio manatumia kama silaha ya kuwatesa baby mama zenu ili muendelee kuwanyanyasa...
Utaolewa tu dada coz kila mtu ni tofauti sana hapa duniani.
shetani anajitahidi sana kuwachafua wadada wengi waonekane hawana sifa za kujenga familia wakati ni wake wazuri kabisa wa kuoa
i mean kuna wadada wanatumika kutenda matendo mabaya yanayowachafulia sifa hata wadada wazuri(wife materials)

Lakini liko tumaini
"Ukitaka mtu sahihi Anza kuwa sahihi wewe kwanza"

kanuni ya Mungu iko wazi

"Utapata wa kufanana na wewe"

Ukiwa tapeli wa mapenzi utatapeliwa tu yani hilo huwa halikwepeki.

kuna wahuni sikuhizi wanavunga muoaji siriaz,,ukute unaboyfnd wako mmeahidiani kuoana ukimwambia tuoane anakuambia kesho mpk inaisha miaka 3 kila siku ahadi tu,ndo anatokea mhuni sasa mwezi mmoja tu anakutolea na mahari
alaf ndo ukute mdada ana nyege ya kuolewa wanaingiaga line fasta
kumbe mhuni anataka kufanya yake tu alaf akuache wadada poleni sana mnapitia nyakati ngumu sana hasa zama hizi za maasi kuongezeka
 
sababu nimelezea kwenye coment number 94 na pia kuna uzi nilishawahi kuuleta zamani
Natamani kujua sababu ya kuachana kwenu. Kwanini mnataka kumsumbua huyu mtoto asie na hatia?
 
Asante sana kwa ushauri mkuu
Utaolewa tu dada coz kila mtu ni tofauti sana hapa duniani.
shetani anajitahidi sana kuwachafua wadada wengi waonekane hawana sifa za kujenga familia wakati ni wake wazuri kabisa wa kuoa
i mean kuna wadada wanatumika kutenda matendo mabaya yanayowachafulia sifa hata wadada wazuri(wife materials)

Lakini liko tumaini
"Ukitaka mtu sahihi Anza kuwa sahihi wewe kwanza"

kanuni ya Mungu iko wazi

"Utapata wa kufanana na wewe"

Ukiwa tapeli wa mapenzi utatapeliwa tu yani hilo huwa halikwepeki.

kuna wahuni sikuhizi wanavunga muoaji siriaz,,ukute unaboyfnd wako mmeahidiani kuoana ukimwambia tuoane anakuambia kesho mpk inaisha miaka 3 kila siku ahadi tu,ndo anatokea mhuni sasa mwezi mmoja tu anakutolea na mahari
alaf ndo ukute mdada ana nyege ya kuolewa wanaingiaga line fasta
kumbe mhuni anataka kufanya yake tu alaf akuache wadada poleni sana mnapitia nyakati ngumu sana hasa zama hizi za maasi kuongezeka
 
Nenda mahakamani simple mnamalizana kiraisi tu

mpuuzi mpuuzi tu
 
asante kwa ushauri angalau kuna watu wanaelewa ninachotaka kujua sio wanaokurupuka kunitukana tuu
Hakuna aliyekutukana hapa sababu umeleta mwenyewe huu Uzi hakuna aliyekulazimisha .

Sikia msikilizie jamaa hata kama itachukua muda yaweza kuwa hasira tu zikiisha ataona thamani yako .

Ushakuwa na mtoto wake hapa najaribu kusema hivyo sababu itapendeza zaidi mkiwa familia .

Badala ya kuishi maisha ta usingo maza na usingo faza

We Lea mtoto MPE maendeleo ya mtoto wake hii inaweza kufanya akuone mama bora na akajitudi mwenyewe
 
Hakuna ujinga kama kuachana kipuuzi wakati tayari mna watoto. Nakuusieni enyi watu humu jf hatotokea mama kama mama wa watoto wako kamwe
 
Cha msingi mwangalie hadi disemba , 2019 kama bado hajabadili kauli. Mrudishie mhali yake kwa amani KBS usibaki nayo kamwe
 
Hakuna aliyekutukana hapa sababu umeleta mwenyewe huu Uzi hakuna aliyekulazimisha .

Sikia msikilizie jamaa hata kama itachukua muda yaweza kuwa hasira tu zikiisha ataona thamani yako .

Ushakuwa na mtoto wake hapa najaribu kusema hivyo sababu itapendeza zaidi mkiwa familia .

Badala ya kuishi maisha ta usingo maza na usingo faza

We Lea mtoto MPE maendeleo ya mtoto wake hii inaweza kufanya akuone mama bora na akajitudi mwenyewe
Mkuu umesoma coment ya aliyeniita malaya?? Je hilo sio tusi? Lakini nisichoelewa ni kwanini niendelee kumsikilizia mtu ambaye kwa akili yake na utashi aliona ni vema kukatisha mahusiano ihali anajua tuna mtoto mdogo?? Tena bila kosa maalumu angalau hata ingekuwa uzinzi unasema kweli
 
Cha msingi mwangalie hadi disemba , 2019 kama bado hajabadili kauli. Mrudishie mhali yake kwa amani KBS usibaki nayo kamwe
mkuu unajua pia wapenzi mnapokuwa mbali tena bila mawasiliano mapenzi yanapungua na mwishowe kuisha kabisa....mpaka hiyo December hata kama tutakuwa pamoja maisha yetu hayatakuwa sawa tena
 
Si wanaume wote tuna dhana hii POTOFU.

Ndio wanaume mnavyojidanganya hivyo kwamba ukishazaa uwezekano wa kuolewa ni mdogo? Na ndio manatumia kama silaha ya kuwatesa baby mama zenu ili muendelee kuwanyanyasa...
 
mkuu yeye ndio aliniacha na miezi 3 imeshapita toka tumetengana ndio maana. Mimi asili yangu sina kiburi na ni mvumilivu sana aisee
Ni muda mfupi sana peaneni muda kidogo wa kupumzika japo miezi 6 kisha kila afanye yake,ushirika ubaki kwa kiumbe chenu.
 
Mwandikie wewe talaka inaitwa "Talaka khuruy" na mle ndani utasema nimekuacha kuanzia leo Mimi siyo mke wako tena. Na nakulipa sh ...... Za kujikhuruy na mahali yako hiyo.
Utakuwa umemuacha rasmi
 
Sababu ni ile ile ya kurudi nyumbani. Asante sana nimeshapoa na tumekubaliana tutalea tuu mtoto pamoja. Najua hatutaweza kuwa pamoja tena sababu yeye anasema siku niliyoondoka ndio nae alivunja mahusiano moja kwa moja .
Aisee naona unautafuta usingle mom kwa juhudi zoote.
 
Mkuu nimejaribu sana kusuluhisha lakini baba mtoto hajakubali kabisa mpaka nikamuuliza kosa langu ni kurudi nyumbani au kuna lingine nijue hana jibu. Unajua wakati mwingine huwezi jua Mungu anatuepushia nini katika maisha yetu
Hivi unajielewa kweli!!!?

Yani wewe ndo tatizo na wewe mwenyewe ndo unataka suluhisha tatizo...
Wewe si ndo unaetaka kumuacha!?? Ok alikukataza uende kwenu...ukaenda kibabe...ulitegemea urudi akuchekee...!!?

Anajua tabia ya familia yako ndio maana alipokuweka ndani akataka uwe nao mbali..

Nyie wabena kwanza wengi ni washirikina jeuri na viburi.

Jishushe kwa mzazi mwenzio na uombe msamaha. Huo upumbavu ea kutaka rudisha mahari utakuwa umeshauriw na ndugu zako ndio maana jamaa alitaka ukae nao mbali.
Acha ujinga hutaolewa na Mama yako.
 
Maneno kuntu haya,

Hata mimi nimehisi huyu binti ni 0-brain.
 
Habari wanajf na heri ya pasaka.
Niende kwenye lengo la uzi...mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miezi 7 nina miaka 26. Miezi 3 iliyopita nilitengena na mzazi mwenzangu ambaye alishanitolea mahari na kunivalisha pete ya uchumba kwa sasa nipo nyumbani na mtoto wangu.
Mwanzoni nilipata wakati mgumu sana kukubali kwamba tumetengana lakini namshukuru Mungu sasa hivi nimekubaliana na hali na nipo vizuri kabisa.
Baba mtoto wangu alikataa kabisa kuchukua mahari yao na pia kuwashirikisha wazazi juu ya kutengana kwetu kwa madai tulikutana wawili tuu wakati pete tulivalishana mbele ya wazazi na ndugu wa pande zote.
Swali langu ni je naweza kuingia kwenye mahusiano mapya wakati yeye hajachukua mahari yake? Na je kwa mfano mtu akataka kuja kutoa mahari inakuwaje kuhusu mahari yao ya mwanzo haitakuwa na shida yoyote maana hataki kuchukua kabisa na watu wanasema kubaki na mahari yake itanifunga sababu kimila bado nitakuwa mke wake. Ninachohofu mbeleni asije leta shida akasema ni mchumba wake halali sababu temetengana kienyeji sana. Naombeni msaada wa mawazo juu ya hili.
Asanteni kwa mchango wenu.
Unasumbuliwa na utoto.Bado unajiona kasichana kwamba utaolewa tu.Tuambie ni nini hasa kikubwa kinachosababisha weye kumuacha mwenzio?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom