Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,105
- 28,059
Kweli mdada tulia kama hataki fanya yako kama sio riziki hakuna cha ziadaMkuu nimejaribu sana kusuluhisha lakini baba mtoto hajakubali kabisa mpaka nikamuuliza kosa langu ni kurudi nyumbani au kuna lingine nijue hana jibu. Unajua wakati mwingine huwezi jua Mungu anatuepushia nini katika maisha yetu