Hataki kuchukua mahari yake nifanyeje??

Hataki kuchukua mahari yake nifanyeje??

Status
Not open for further replies.
Sababu ni ile ile ya kurudi nyumbani. Asante sana nimeshapoa na tumekubaliana tutalea tuu mtoto pamoja. Najua hatutaweza kuwa pamoja tena sababu yeye anasema siku niliyoondoka ndio nae alivunja mahusiano moja kwa moja .
Pole aisee basi madam amekataa mwenyewe usifungwe
 
Mama wewe kwanza fikiria kulea mwanao ndiyo kwanza ana miezi saba hayo mambo ya mahari kwa sasa achana nayo utayafikiria walau mwanao akiwa na miaka minne au sita mkuu
Miaka sita mkuu??? daah aisee sababu gani maana kama malezi ya mtoto analelewa vizuri tuu
 
Nimekuelewa hapo busara zaidi itumike dia..
 
Mimi kwa upande wangu nimesharidhia kutengana nae sababu kwa miezi 2 mfululizo nimejitahidi kuweka mambo sawa lakini mwemzangu anasema alishaamua tutengane...Siwezi endelea kumfikiria mtu ambae haoni thamani ya mama mtoto wake mpaka wazazi wanasema najibembeleza kwa mtu ambae hanipendi mkuu...
Inakupasa kuchukua muda wa kutosha kujitathimini na kujirisha kama kweli umeridhia kutengana na mzazi mwenzio isije kuwa mlifanya maamuzi kwa hasira alafu baadae ukaja jutia
 
Mtoto alishalipa hela ya uchafuzi maana mahari alitoa kipindi nina ujauzito. Mimi nahitaji kujua je kubaki na mahari yake haitaleta shida?? na vile hataki tuvunje uchumba mbeleni hawezi kuleta shida kwamba huyu ni mchumba wangu halali??
Sasa akichukua mahari na huyo mtoto au siku akimwitaji atatoa nyingine mahari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto alishalipa hela ya uchafuzi maana mahari alitoa kipindi nina ujauzito. Mimi nahitaji kujua je kubaki na mahari yake haitaleta shida?? na vile hataki tuvunje uchumba mbeleni hawezi kuleta shida kwamba huyu ni mchumba wangu halali??
Lifikishe kwa wazazi nazani mama atakupa ushauri mzuri kisha mzee mambo yatakaa vizuri,
itakuwa anakulia timing huyo aje kusema ugoni, fuateni utaratibu mtaachana vipi kimya kimya
muongo huyo ana lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitoa mahari ukiwa na ujauzito,mtoto ana miezi saba tu.
Mlioana kabisa mkaishi pamoja au alitoa tu mahari kwanza kisha ratiba zingine zifuate?
Maana naona kama ni muda mfupi sana.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom