Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

binti kiziwi it's strange Ila usinicheke,Me napenda harufu ya mkate ukitoka jikoni,.nilikua napenda kwenda jioni antique oven kununua mikate nisikie harufu tu, smells good than a Candy shop.,.

scent ya warm bread fresh from the oven Napenda.... unapenda harufu ya Nini pacha??
Unadhani ni strange Twinnie, nadhani watu wengi wanapenda including me.

Mi napenda harufu ya K yangu! 🤦🏻‍♀️ Na pia harufu ya udongo ukilowa, au ukinyeshewa na mvua.
 
Unadhani ni strange Twinnie, nadhani watu wengi wanapenda including me.

Mi napenda harufu ya K yangu! 🤦🏻‍♀️ Na pia harufu ya udongo ukilowa, au ukinyeshewa na mvua.
Nakuamini if you say something good huwa inakua zaidi ya nzuri,if it's smells that good Hakuna namna we can make a perfume out of it tupige Hela??Kiziwi Limited edition...damn busnez idea
 
Back
Top Bottom