Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Ushawahi kutoa pesa kwa ATM, alafu ukazisogeza karibu na pua. Alright that's the best smell on planet earth
Wale wanaojiuza huwezi kuta kale kaharufu😋Naam! Hahaha kumbe kuna scraper tena 😀
Ningekua msukuma si ningelia...mi mtu wa pwanimapumba 😳
We ni msukuma? 😀
Wananuka mchanganyiko wa nyege😅wale hawanukii wananuka
Mi ya mahindiHaha afadhali, mapumba yanayonukia vizuri kwangu ni ya mpunga 🙂
Watu hadi mnafulia wapenzi wenu,.Harufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada 😘
Nilikua natafuta hii comment,.Pesa
😄 🤣 😂 😆Hahah 😀 Hasa ziwe $$$