Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Maduka ya wahindi sijui huwa wanapuliza ni udi sijui nini kile, napenda harufu yake.
 
Nimetuliza mshono tu, natalajia kununua kwanza kompyuta kisha niendelee na app
 
Harufu ya mchanga au udongo mvua ikinyesha. Pia harufu ya AC hasa ukiingia banks au stationary
 
Back
Top Bottom