Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,788
- 168,145
Harufu ya pesa mpya mpya
Ya k ya mshangaziKwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
Mkuu una ujauzito?Harufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada 😘
Naam kiwe laini,ukubwa wa wastani,kisiwe kikavu then kiswe kimeungua..ubalansi tuchumvi na sukari 😋TENA UPATE TUMBUA HASWA LIMETUNATUNA LANUKIA NA KUMEREMETA 🙂
Napenda harufu ya nyama nyama choma 😜😋😋Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.