Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

Unadhani ni strange Twinnie, nadhani watu wengi wanapenda including me.

Mi napenda harufu ya K yangu! Na pia harufu ya udongo ukilowa, au ukinyeshewa na mvua.
Oh lovely [emoji7]
Usafi wa kutosha unaleta kaharufu kaburudaani
 
Harufu ya mwili wa mpenzi wangu,aisee natamani kumtafuna
Namaanisha ukipenda kweli basi hata akiwa mbali utagundua ujio wake kwa kaharufu kake murua...
Nguo zake unapotaka kufua uwe unazinusa kwanza,umesikia mleta mada 😘
We nyege zako ni kali sana unaonekana 🤔🙌😂🙌🏾
 
Angalizo: Msitumie hii kama mtego kutupeleka kusikojulikana
Harufu ya udongo mara tu baada ya mvua za kwanza kunyesha
Tunaikubali wengi
Dokezo: Hamna mtego
 
Haha hapo fresh mkuu mambo ya Pwani tena upate toto la kitanga liupike, likune nazi huku linakatika kwenye mbuzi na kuimba taarabu
🙂
Unachojua ni kuwaza ngono tuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom