kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
Penzi zito kilo mia hamsini, hongera sana 😁😁😁Penzi jipya kipenzi,nipe muda kidogo afu uje ulete mada hii tena...afu uje usome comment yangu 🤒
Penzi zito kilo mia hamsini, hongera sana 😁😁😁Penzi jipya kipenzi,nipe muda kidogo afu uje ulete mada hii tena...afu uje usome comment yangu 🤒
Pole sana kwahiyo hutumii kilevi?haha gongo siipendi wala pombe yoyote ila harufu yake ni interesting
🙂 ni kama sanitizer
I love that smellInanukia fresh sana, kama kahawa
Safi, jitahidi usije ukatumiaHapana sijawahi hata tone moya, sigara pia japo navutishwa unknowingly(mtu akivuta pembeni moshi ukaja nilipo)
Siyo kweli mkuu tena kama usipojicontrol unaweza ukaanza kuropoka yanayokutatiza yote hadharaninasikia zinapunguza mawazo ni kweli?
Pamoja mkuuAsante kwa mwongozo mkuu 🙂
Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
Watu hadi mnafulia wapenzi wenu,.
Mbona hatukukubaliana hivi jamani eti Joanah
Daaah hii Dunia aiseeeHarufu ya nguruwe
KwakweliHuyu ni yule anayekimbia vikao
Acha aendelee kufua tutamkuta huko mbele
Maji matitu 😹😹diaspora ama hukuhuku chanika 😀