Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Ni tendo la kukubaliana na anachosema mhusika! Ndio maana hata watu wakipatana hupeana mikono
Kwa muktadha wa tukio husika Harmo angekubali kutoa mkono angetangaza vita rasmi Mondi
Siyo angekuwa amekwisha? Kuchukuliwa nguvu zake?

Kuna siku niliwahi msikia mtu anasema yule amebebwa kiganja vyake vipo upande huu..
Jamaa akamalizia usipende kushake hands with ur enemies..

Ongezea ujuzi kwenye hili bro
 
Inawezekana pia kwenye hili ndio maana wengi hukataa kupeana mikono
 
Kumbuken hata Ali kiba alishawahi kupewa mkono na Diamond akakataa akasalimiana nae salamu ya nyuma ya kiganja
 
Mkuu mshana kwanza heshima yako broh, hata kabla sijawa member rasmi humu jf huwa nafatilia sana kila post na coment zako zote huwa zinanijenga sana... Uzidi kuishi maisha marefu aicee
Huyu jamaa sio siri anaonekana Kichwani yupo vizuri sana. Hoja zake zinaeleweka sana na zipo ktk mtiririko unaokuongoza kwenye jibu, pia uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mkubwa. Pia anaonekana ni Muungwana sana sababu sikuwahi kuona Comments za Mihemko au hasira au kumu attack mtu humu.

Lakini sasa ukute jamaa kama huyu huenda ana maisha duni tu. Tuseme tu kuwa Mungu hakupi vyote
 
Aache kuchukua nyota za kina Wizkid, Snoop, Wizz Khalifa, Alicia Keys, Swizz ,then aje kuchukua nyota za mkata mkaa kutoka dunia ya tatu,vumbi tupu.

Wizkid na Davido miaka ya juzi walivyokuja kupiga show, wote wakaenda Madale na baada ya hapo Davido kachia hit songs tatu If,Fall and blow my mind na Wizkid sasa hivi anatamba na Essence, sasa sijui Davido na Wizkid still wapo juu au labda nao wachawi?.

images (24).jpeg
images (23).jpeg

Halafu kesho hawa hawa una wasikia "Diamond anaringa.........mbinafsi.........hapendi ushirikiano ",sasa mtashirikiana vip wakati mikono hapeani mara akishirikiana utasikia "ukimshirikisha hung'ai.......",huyo anasema hivyo kisha mshirikisha nyimbo zaidi ya tatu na mikono walipeana kila siku, sasa sijui na yy hang'ai.
 
Nimekuoma mfuasi wa wizi wa nyota za watu
 
Nilikuwa London wiki iliyopita nikaulizwa nchi niliyotokea nikasema Tanzania, wakashangaa sana mm kutoka nchi moja na kiumbe anaitwa Diamond Platnumz
 
Kuna vitu vitatu tofauti
Kuamini ushirikisha
Kuishi ushirikina
Kuhofia ushirikina
Katika haya yote kwangu mimi unapotea..
1-Kuamini hata vitabu vya dini vimesema uchawi upo ila msiuamini kwani ombeni Mungu atawalinda.
2- Kuishi ushirikina wewe ni zaidi ya shetani maana unamshirikisha Mungu na hapa hutaamini tena Mungu utakuwa unaendesha maisha yako kwa washirikina huyu ni mtu hatari sana.
3- Huu nao ugonjwa wewe ukiamini na kuhofia basi utakuwa mtumwa wa hali hii.

kwa yote haya mimi nadhani yana link pamoja ukianza na moja basi mengine yatafuata, mara nyingi mikoa yenye kuamini sana haya mambo utakuta wako nyuma kila siku. Kuna mtu alishawahi kuniambia ukitaka team ya mpira ishinde nenda kwa waganga Sumbawanga wakati wao wenyewe hata team ya daraja la 3 hawana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom