Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

Sio kosa lako ila ni kosa la umalaya wa Mama yako kukuzaa nje ya ndoa
Bora mm nilizaliwa nje ya ndoa wewe ulitoka pamoja na mavi ,ndio nyie mnazaliwa mkiwa mmejaa mavi mwili mzima !Sasa akili utaitolea wap?maana hapa tu unamshabikia na kumpigania Domo aliyezaliwa nje ya ndoa na hajui yup Ni baba ake kamili anabaki kuhangaishwa na mama ake ,Mara amwambie baba ako Ni Abdul Mara amwambie Ni nyange ,ulivyo likilaza umekuwa mtumwa wa huyo huyo mtoto wa nje ya ndoa huenda unakukaza haya matako maana sio kwa shobo hizo ,kila Uzi wewe Ni kumtetea bwana ako Domo .
Kichwa kimejaa mavi mavi tu ndio maana hujui hata unachotukana na bila kujua Kama unajitukana mwenyew ,you must stop being asskisser
 
Harmonize ameonesha Akili Ya Waajiriwa Wengi Tanzania Ilivyo. Tungepata Hata Siku 7 kuwaona wenzetu walioendelea Namna Gani wanaheshimu Kazi, na Kuheshimu Maboss zao, Leo Harmonize asingeongea kama Anavyo ongea.

Kuna Kitu Kinaitwa Kampuni. Ikisha Kuwa Kampuni basi hata muajiriwa Fikra zako inabidi zianze kubadirika. Walio Ajiriwa kwenye Serious Companies Watakuwa naelewa nacho Sema.

Harmonize Alikuwa Msanii wa Kwanza kabisa Kuwa chini Ya WCB, huenda Wakati Diamond Anamchukua Harmonize Hakuwa na Mawazo ya kuja na Wasanii wengi na Kuwaendeleza wengi zaidi. So alimchukua kama Mtu anayetaka kumsaidia, lakini baada ya Kuingia WCB na Diamond anakuwa kiakili anakutaka na watu, Ndipo Mawazo ya kuwa na Kampuni itakayo kuwa Inamamia wasanii ikazidi kunoga, Hapo ni Lazima Diamond Akili ilianza kubadirika na kuanza kufikiria kama CEO na Sio Kama Diamond. Sasa Harmonize Alitakiwa Naye kuanza kubadirisha Fikra kuwa Sasa nipo chini ya Kampuni na Sio nipo Chini ya Mtu fulani. Angekubali hilo haya yote yasingetokea.

Kwanini Harmonize Anashindwa Kujiuliza hata Mh Rais alivyompigia simu Aliagiza Termination contract iwe signed na Sio Millioni 600 zirudi? Ina maana alielewa mikata ya Kampuni inavyo fanya kazi! Leo atalia na hizo millioni 600 lakini no one ambaye atakuja kusema kuwa hizi millioni 600 hukupaswa kulipa.

Harmonize ananikumbusha Aina ya Waajiriwa ambao wanafanyiwa Interview, anauliza Ungependa Tukulipe Sh ngapi kwa Mwezi anasema Mimi hela yoyote tuu mtakayo ona inafaa nitalipwa. Anaulizwa zaidi ya Mara 3 thamani yako ni Tsh ngapi katika kazi hii, Hataki kusema. Akisha Ajiriwa na Kupewa mkataba akaizoea Kampuni Anaanza kusema Huu mshahara ni mdogo sana na Haunitoshi, lakini kumbuka Umesha Sign mkataba. The same na Harmonize leo anakuja Kulia Na asilimia 60% kwa 40% huenda kweli ni ndogo, lakini kama ulikuwa unajiamini kuwa ipo siku utakuwa Juu, kwanini hukusema mwanzo? Kwanini hukuomba Vipengele vya mkataba Viseme kuwa kwasababu wewe ni msanii na unakua kila kitu, basi kuwe na kipengele cha ku review mkataba wako kila baada ya miezi 6 au Mwaka 1. Hakufikiria kwasababu akili yake ilimezwa kuwa BSS wamenikataa, huyu amenichukua. Hapa ndio Dhana ya Kuwa KUSOMA SHULE NI MUHIMU, Angekuwa Alisoma Suala la Mikataba angejua nini cha kufanya.

Sometime CEO anaweza kuwa Rafiki yako, na jana mmekunywa naye Bia ila kesho ukitaka kwenda Kumuona Ofisini anakwambia Nitumie Email au weka Appointment! Walio ajiriwa hili wanalijua sanaa, The same kwa Diamond Kuna Muda atasimama kama Diamond na kuna muda Atasimama kama CEO, Raisi Akiwa Kwenye Shughuli za kichama, basi wanachama ni rahisi kumuona na kumu access lakini akisimama kama Rais wa Nchi utaona kama Mambo yamebadirika.

Diamond Tunasema Alimsaidia Harmonize kwasababu alitake risk, Aliwekeza Pesa Bila Kujua kama Wananchi watampokea msanii au hawata mpokea, Sahizi Tunasema Harmonize alionewa kwasababu tunaona amesha Kuwa Star, Fikiria Hela Alizowekeza Diamond Kwa Hamornize Halafu, Mashabiki wasinge mpokea Diamond angekuwa Ametengeneza Hasara Kiasi gani? Tunarudi kule kule kwenye Kampuni, ukiwa Unaomba Msaada wa kuanzisha Kampuni na Unataka mtu aweke pesa zake, ni lazima Uandike proposal useme utafanya nini? , utapataje faida na Utarudisha Vipi Mtaji! Wakague ndio upate pesa. Lakini Diamond alimchukua jamaa, akawekeza pesa, bila kujari kama itakuwaje mbele. Sasa Tumuulize Harmonize kwa Jinsi vile alivyo imba BSS nani Angemchukua kama Msanii wake? Diamond alithubutu.

Ufike wakati wasanii wa Bongo waache kuvimba, watafute wanasheria wafundishwe sheria, mikataba na Vitu vingine, Shule ni Muhimu. Yule CEO wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Kuna Programmer hawalali kuhakikisha Kila kitu kinaenda, kuna IT wanaipambania Kampuni, lakini CEO anaonekana Kawasaidia kuwapa Ajira na Yeye ndie anaye tajwa duaniani kuwa ni Tajiri sio wewe IT ambaye hulali
Umeandika vyema.
 
Bora mm nilizaliwa nje ya ndoa wewe ulitoka pamoja na mavi ,ndio nyie mnazaliwa mkiwa mmejaa mavi mwili mzima !Sasa akili utaitolea wap?maana hapa tu unamshabikia na kumpigania Domo aliyezaliwa nje ya ndoa na hajui yup Ni baba ake kamili anabaki kuhangaishwa na mama ake ,Mara amwambie baba ako Ni Abdul Mara amwambie Ni nyange ,ulivyo likilaza umekuwa mtumwa wa huyo huyo mtoto wa nje ya ndoa huenda unakukaza haya matako maana sio kwa shobo hizo ,kila Uzi wewe Ni kumtetea bwana ako Domo .
Kichwa kimejaa mavi mavi tu ndio maana hujui hata unachotukana na bila kujua Kama unajitukana mwenyew ,you must stop being asskisser
Aya sawa
 
Mkuu hiki kitu kinakwepwa sana kuongelewa na kufanya WCB waonekane kweli ni wanyonyaji. Yule mwamba tumemjua akiwa wasafi mpaka anakua msanii mkubwa yuko chini yao.

Kila kitu anafanyiwa, achana na hilo si ajabu pia alikua anashirikishwa kwenye maamuzi. Sasa asset kama hii kweli ikitaka kuponyoka eti akulipe pesa ndogo.
Nadhani WCB as a brand lengo la Harmo lilikuwa kuwachafua...maana maelezo yake yako baised yanaangalia mabaya tu ya WCB as if ktk miaka aliyokaa pale alikuwa anapitia kipindi kigumu mwanzo mwisho. He acts like hakupitia good times pale.

WCB wafanye damage control watolee ufafanuzi some of the things ku settle down the dust...wasi hope tu kuwa hili nalo litapita...maana ni tope wamerushiwa..zitawatia doa.

Kwenye mazungumzo yake jamaa hakusema kuwa Label ilikujaje kujaje na hiyo figure ya 600M...hakusema uwekezaji aliofanyiwa ulikuwa wa kiasi gani ili watu wapime tofauti ya kilichowekezwa na alichodaiwa kulipa.

Yeye pia ana wasanii.....sijui anawakata asilimia ngapi kama anawafanyia everything...utakuta hazitofautiani sana na alikotoka.
 
Kulipwa tu 40% Kati ya 60% za kampuni hapo inaonesha harmonize Ndio anawanyonya WCB hicho ni kiwango kikubwa Sana kwa muajiriwa kulipwa cos hiyo 60% za kampuni zinatakiwa kulipa mishahara ya wasanii wengine ambao wapo ndani ya label, managers, dancers, production like videos, promotion n.k pamoja nakugharamia uandaaji wa shows, mavazi pamoja na gharama za harmonize mwenyewe ukitaka kujua hiyo percentage ya mshahara ni mkubwa aangalie label zingine zinalipaje pamoja na label yake mwenyewe
 
Watu Naona Wanachanganya VITU HUMU

Suala la Harmonize Wekeni Utimu Pembeni Halafu Tujadiribkwa Facts.

1. Watu wanalinganisha Diamond Na Clouds. Ieleweke kuwa Diamond Hajawahi Kuwa signed na Clouds Media Group as Company kama Msanii wao. Na wala Clouds Media Group Haihusiani na Kuwasimamia Wasanii. Clouds Media Group ni Compny inayojihusisha na MEDIA + ENTEGNTEIMENT INDUSTRY Basi Haimsimamii msanii. So ukiitwa na Clouds Media Group Twende Kwenye Show, Ni Suala La Makubariano malipo yenu yatakuwaje yaani kwa kifupi unakuwa Day Worker, ukimaliza kazi yako unachukua mpunga Unasepa. Kwa hiyo Diamond Alichokuwa anapishana na Clouds Media Group, ni kumdharau na kutaka kumchukulia poa na kumtumia kwenye Show watakavyo. Diamond Akaweka Standards Kwake na Kwa Wasanii wake Kuwa Mimi Ili nifanye Show Malipo yasiwe chini ya Millioni 11, Ukimtaka Harmonize Malipo Labda yasiwe chini ya Millioni 8 na wengine. So clouds Media Group kwa Wakati huo ndio Media iliyokuwa na Nguvu hivyo wasanii hizi show walikuwa wanakubali kwasababu hakuna mbadala, walivyo ona Diamond Anavimba ndio wakaingia kwenye Ugomvi. So ni Vitu viwili tofauti kabisa.

2. Watu wanaona Kwa Msanii Million 600 ni Nyingi. Lakini Kwa Level Aliyokuwa Amefikia Harmonize Kwa Tanzania Kwa Wakati ule yuko Wasafii Millioni 600 ni hela Ndogo Sana. Kwanini Ni Hela Ndogo. Tuchukue kila Video Aliyoitengeneza Harmonize imegharimu Tsh Ngapi? Kuanzia Aiyola Just Roughly Gharama Za Shooting, kwenda South Africa na Sehemu zingine na Vitu Vyote. Chukua Kila Video Imegharimu Millioni 80 kwa Nyimbo 6 ni Tsh 480M. Production ya Hizo Nyimbo? Utajikuta kwa nyimbo 6 unafikia Millioni 600, Akiwa Chini Ya WCB katoa Video Ngapi na Audio Ngapi? Na kwa Wakati ule Bila Kwenda SA huja Shoot Video. Kumbrand Harmonize Imegharimu Kiasi Gani? Wasanii wangapi Wazuri Tanzania Zaidi Ya Diamond Na Alikiba Wameshindwa Kujibrand? Utaelewa pia Kumbrand Mtu ni Gharama ni pesa Nyingi, na Kwa Wakati huo Kituo Kikubwa Cha Media Kimegoma Kucheza Nyimbo za Harmonize Unatumia Gharama kubwa kiasi Gani Kumbrand Harmonize ili Nyimbo zake Zichezwe Trace, MTV na Nchi Zingine bila Msaada Wa Kituo Cha Radio? Ukijiuliza hayo maswali Utaona Ni Gharama kubwa kiasi gani Ilitumika Kulinganisha Na Millioni 600.

3. By the Time Diamond Anamchukua Harmonize Diamond Alishakua Star, alikuwa akikupost Kuwa Wewe unajua Kuimba Au akapost wimbo Wako basi Utaenda Viral, Na Diamond Alikuwa Na Management, Chukua Diamond Alikuwa Akishirikishwa kwenye Wimbo Analipwa Sh Ngapi? Tuchukue hela ndogo 20M, Harmonize Kafanya Collabo Ngapi na Diamond For FREE ili Dogo Aendee? Na Zote Zilikuwa Moto? Chukua hiyo Gharama the Muone Kama Kulikuwa na Faida na Hiyo 600M ilikuwa kubwa?, Harmonize Alitengeneza Social Media Accounts Ambazo ziliendelea kumlipa sana Kuanzia Youtube Accounts na Instagram amefaidika Vipi na hizo Accounts? Bado WCB walimuachia.

4. Watu Wanasema 600Millioni ni kubwa WCB kuchukua kwasababu walikuwa wanapata 60% kutoka Kwa Harmonize na Harmonize Anapata 40%, Twende Kwenye Jicho La Kampuni… Harmonize Akichukua 40% yeye Hakatwi kitu chochote kile yaani 40% yote Inaingia kwenye Account Yake kwasababu ni Msanii ambaye yupo chini ya Kampuni, Hivyo TRA haikuwa Inamtambua Harmonize ila Ilikuwa inaitambua WCB kupitia ile 60% ambayo Harmonize analalamika alikuwa Ananyonywa. Chukua WCB katika 60% walipe Kodi Halali ya Kitanzania ya ongezeko la Dhamani yaani VAT, katika 60% wanalipa 18% kwa TRA kama Kampuni Inabaki na 42%, Wakati huo Kampuni Ina Waajiriwa Wengie walio kuwa Wanahusika Na Kuhakikisha Show, au kila kitu nyuma Ya Harmonize Kinaenda Sawa na Wapo chini ya Kampuni, hivyo watahitaji mishahara kupitia hiyo 42% iliyobaki, zitahitajika Kumaintaine ofisi katika hiyo 42% na RUNNING COST zingine zote zitatoka kwenye Hiyo 42% unataka kusema katika 60%, PROFIT MARGINE YA WCB Ilikuwa kiasi Gani? Wenye Kampuni wanaelewa nini Nasema au Walio wahi kusimamia Kampuni… Kumbuka Muda Huo Harmonize Yeye Kachukua 40% yake Kaweka Mfukoni. Kama Ilikuwa Ni Show imeandaliwa na WCB As Compny Itagharamika Usafiri, Mavazi na Malazi Ya Msanii kwenye hiyohiyo 42% baada ya VAT Ambayo HARMONIZE ALIKUWA ANALALAMIKA ANANYONYWA. So hii ISSUE inahitaji Kuwa Knowledge ya Biashara Kuelewa COST PER UNIT + RUNNING COST Vs 40% ambayo bila makato inaenda Direct kwa Harmonize. SWALI JE 600M Ni Kubwa?

5. Tunafichwa na Mwamvuli wa Umaskini Kuamini 600M ni Kubwa Lakini Ukiangalia Walicho Spend na Faida Iliyo tengenezwa Utaona Kwa namna Gani Kumsimamia Msanii ni Gharama. Label Ngapi zimevunjika? Label Ngapi Zimeshindwa kuwasimamia Wasanii? Kuwa Na Kampuni ni Stress ndio Maana Kuna Muda Nikisikia Diamond Anatumia Madawa Ya kulevya, Naelewa Ni STRESS kiasi Gani Anapitia Kuhakikisha Kampuni Inaenda. Tunaona Matajiri Wakubwa Wakiingia kwenye matumizi ya pombe kupita kiasi na Bangi kwasababu Ya stress za Kumanage Kampuni.

6. Ukishakuwa Na MKATABA na Kitu Fulani, Tafsiri Yake ni Kuwa Mmetoa Masuala ya Mahusiano na Mmeweka MAANDISHI YAONGEE. Ndio Tafsiri ya Mikataba. Kuna Sheria Tanzania Ambayo Inasimamia MIKATABA YOTE TANZANIA, Hata Mkataba Ulio pewa wakati unaajiriwa unasimamiwa na Sheria ya Mikataba Tanzania. Kitendo cha Ku sign mkataba Kinatafsirika Kama Umesoma na Kuelewa kile kilichopo kwenye Mkataba na SHERIA YA MIKATABA TANZANIA, Inalazimisha Mkataba wowote ule Kusema/ Kutaja Ukomo/Muda wa Mkataba. Sasa Kama Harmonize Either kwa Kuelewa Au Kutokuelewa akawa Alisign Mkataba Labda wa Miaka 15 kuwa Chini ya WCB then Baada Ya Miaka 5 anataka kujiondoa, Sheria Mikataba iko Wazi, Utalipia Miaka 10 iliyobaki. Tuseme Harmonize alikuwa Amepigiwa na Kampuni kila Baada ya Mwaka Anaingiza Faida Ya TSH millioni 60, kavunja mkataba ukiwa bado una miaka 10 inamaana Anapaswa na Sheria Inamtaka alipe Millioni 600 kuweza kuvunja Mkataba Au Na zaidi! Na Mikataba huwa wazi Hutaka kwanza Kufanya Mutual Agreement au pande moja Ilipie Fidia. So Harmonize Angekuwa na Mwanasheria Mzuri, Angepitia Mkataba na Kumshauri kuwa Bwana una Mambo Mawili, 1 vumilia Mpaka mkataba utakapo kuna kuisha Au 2. LIPA PESA YA MIAKA 10 Vunja Mkataba. JE, ILE SIKU ANAHOJIWA KUNA MWANDISHI YEYOTE AU MTU YEYOTE ALISHA WAHI KUMUULIZA HARMONIZE ULISIGN MKATABA WA MIAKA MINGAPI? Kwa Lugha Rahisi Angalieni Uhamisho Wa Wachezaji Mpira Wa Miguu Unavyofanywa mtanielewa kwenye Hili. Hata Nyie kama Kuna Mtu kaajiriwa na Una Mkataba Sheria Inasema Ukiacha kazi Ndani ya masaa 24 unapaswa kumlipa mwajiri wako Mshahara wa Mwezi 1 UKIELEWA HIVYO UTAELEWA KUWA MKATABA JAPO HATUJAUONA ILA HAUKUWA WAKINYONYAJI.

7. MWISHO

JAMANI TUKUBALIANE UKIWA CHINI YA KAMPUNI UNABEBA IMAGE YA KAMPUNI, Hivyo Kitendo Cha HARMONIZE KUFANYA SHOW Sehemu Yoyote ile Bila Ruhusa Ya Kampuni ni KUIKOSEA KAMPUNI YAKE, Na LAZIMA AELEWE DHAMANI YAKE, kwa Wakati ule WCB as Company ndio walikuwa Wanaelewa Dhamani Ya Harmonize Akisimama Kufanya Show, So ili Kujibrand na Kujipa Dhamani Huwezi shuka ovyo ovyo kwa Mashabiki kuwafanyia Show kisa Wamekushangilia so Hizo Millioni ngapi alizo lipishwa ilikuwa SAHIHI 100%, Tujiulize Mlisha Muona Wizkid Anaimba Imba Kwenye Harusi, Birthday, Viwanjani bila Show Maalumu? au Davido au Future au Msanii yeyote mkubwa Marekani? Kuna Muda hata Kwenye Interview hawaendi endi tuuu kisa Umeitwa, Hii yote ni Kujitengenezea Dhamani. Na ndicho walichokuwa wanafanya WCB kwa Wakati huo, Wewe Umeenda Taifa Kuangalia Mechi angalia Mechi maliza nenda, Kushuka Chini Kuimba kama Kampuni Ilikuwa Imepanga Next week Wakupe Show Je? WASANII WENGI WA TZ wanakosea Hapo kujishusha DHAMANI na Ndicho Anacholilia HARMONIZE ana Alicho Taka WCB wafanye.

NISEME TUU, HARMONIZE ALIBAHATIKA KUPATA KAMPUNI AMBAYO NAYO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WALIKUWA HAWAJUI DHAMANI ZAO. NASHANGAA HATA MANAGEMENT YA DIAMOND kwanini Inamuachia Diamond Anazurulula Ovyo ovyo na Kina Baba Levo na Juma Lokole, anaenda Ovyo ovyo kwenye Vishughuli visivyo na Maana kama Harusi Ni Kujishushia Dhamani JAPO WATU HUMU MUNAWEZA MSINIELEWE.

Ni Hayo tu
 
Nimeamini kuna watu wanaweza kukuchukia na hujawafanyia lolote baya,

Harmonize
1. Aliutekeleza mkataba wake WCB vizuri
2. Waliposhindwana wakamalizana vizuri na wcb wakavuta pesa waliyokuwa wanaitaka (600M)

Choko choko za nini sasa?mtu ana demand respect kwa mtu ambaye alitaka kumuangusha??? Naamini mmoja wenu hapa ndiye angekuwa Harmonize uvuliwe milioni 600 si ajabu hata mngekuwa mmeshamloga Diamond kafia mbali
Ww ndio umeongea ukweli
 
Vyombo vya haki vipo macho, waache wapige fujo walewe misifa .... Wata ozea Jela ...
Wizara ni kitu kikubwa sanaa iwasuluhishe kwa itifaki gan
 
Hayo mimi hayanihusu
Ninachotaka kujua diamond ameshalipa fadhila za Bob junior?
Kalipa fadhila kwa Hawa Nitalejea, kwa kumpeleka India kwa matibabu, Bob Junior na clouds fm, na baba mlezi bado kulipwa fadhira, hipo siku yao watakumbukwa kikubwa uzima tu.
 
Watu Naona Wanachanganya VITU HUMU

Suala la Harmonize Wekeni Utimu Pembeni Halafu Tujadiribkwa Facts.

1. Watu wanalinganisha Diamond Na Clouds. Ieleweke kuwa Diamond Hajawahi Kuwa signed na Clouds Media Group as Company kama Msanii wao. Na wala Clouds Media Group Haihusiani na Kuwasimamia Wasanii. Clouds Media Group ni Compny inayojihusisha na MEDIA + ENTEGNTEIMENT INDUSTRY Basi Haimsimamii msanii. So ukiitwa na Clouds Media Group Twende Kwenye Show, Ni Suala La Makubariano malipo yenu yatakuwaje yaani kwa kifupi unakuwa Day Worker, ukimaliza kazi yako unachukua mpunga Unasepa. Kwa hiyo Diamond Alichokuwa anapishana na Clouds Media Group, ni kumdharau na kutaka kumchukulia poa na kumtumia kwenye Show watakavyo. Diamond Akaweka Standards Kwake na Kwa Wasanii wake Kuwa Mimi Ili nifanye Show Malipo yasiwe chini ya Millioni 11, Ukimtaka Harmonize Malipo Labda yasiwe chini ya Millioni 8 na wengine. So clouds Media Group kwa Wakati huo ndio Media iliyokuwa na Nguvu hivyo wasanii hizi show walikuwa wanakubali kwasababu hakuna mbadala, walivyo ona Diamond Anavimba ndio wakaingia kwenye Ugomvi. So ni Vitu viwili tofauti kabisa.

2. Watu wanaona Kwa Msanii Million 600 ni Nyingi. Lakini Kwa Level Aliyokuwa Amefikia Harmonize Kwa Tanzania Kwa Wakati ule yuko Wasafii Millioni 600 ni hela Ndogo Sana. Kwanini Ni Hela Ndogo. Tuchukue kila Video Aliyoitengeneza Harmonize imegharimu Tsh Ngapi? Kuanzia Aiyola Just Roughly Gharama Za Shooting, kwenda South Africa na Sehemu zingine na Vitu Vyote. Chukua Kila Video Imegharimu Millioni 80 kwa Nyimbo 6 ni Tsh 480M. Production ya Hizo Nyimbo? Utajikuta kwa nyimbo 6 unafikia Millioni 600, Akiwa Chini Ya WCB katoa Video Ngapi na Audio Ngapi? Na kwa Wakati ule Bila Kwenda SA huja Shoot Video. Kumbrand Harmonize Imegharimu Kiasi Gani? Wasanii wangapi Wazuri Tanzania Zaidi Ya Diamond Na Alikiba Wameshindwa Kujibrand? Utaelewa pia Kumbrand Mtu ni Gharama ni pesa Nyingi, na Kwa Wakati huo Kituo Kikubwa Cha Media Kimegoma Kucheza Nyimbo za Harmonize Unatumia Gharama kubwa kiasi Gani Kumbrand Harmonize ili Nyimbo zake Zichezwe Trace, MTV na Nchi Zingine bila Msaada Wa Kituo Cha Radio? Ukijiuliza hayo maswali Utaona Ni Gharama kubwa kiasi gani Ilitumika Kulinganisha Na Millioni 600.

3. By the Time Diamond Anamchukua Harmonize Diamond Alishakua Star, alikuwa akikupost Kuwa Wewe unajua Kuimba Au akapost wimbo Wako basi Utaenda Viral, Na Diamond Alikuwa Na Management, Chukua Diamond Alikuwa Akishirikishwa kwenye Wimbo Analipwa Sh Ngapi? Tuchukue hela ndogo 20M, Harmonize Kafanya Collabo Ngapi na Diamond For FREE ili Dogo Aendee? Na Zote Zilikuwa Moto? Chukua hiyo Gharama the Muone Kama Kulikuwa na Faida na Hiyo 600M ilikuwa kubwa?, Harmonize Alitengeneza Social Media Accounts Ambazo ziliendelea kumlipa sana Kuanzia Youtube Accounts na Instagram amefaidika Vipi na hizo Accounts? Bado WCB walimuachia.

4. Watu Wanasema 600Millioni ni kubwa WCB kuchukua kwasababu walikuwa wanapata 60% kutoka Kwa Harmonize na Harmonize Anapata 40%, Twende Kwenye Jicho La Kampuni… Harmonize Akichukua 40% yeye Hakatwi kitu chochote kile yaani 40% yote Inaingia kwenye Account Yake kwasababu ni Msanii ambaye yupo chini ya Kampuni, Hivyo TRA haikuwa Inamtambua Harmonize ila Ilikuwa inaitambua WCB kupitia ile 60% ambayo Harmonize analalamika alikuwa Ananyonywa. Chukua WCB katika 60% walipe Kodi Halali ya Kitanzania ya ongezeko la Dhamani yaani VAT, katika 60% wanalipa 18% kwa TRA kama Kampuni Inabaki na 42%, Wakati huo Kampuni Ina Waajiriwa Wengie walio kuwa Wanahusika Na Kuhakikisha Show, au kila kitu nyuma Ya Harmonize Kinaenda Sawa na Wapo chini ya Kampuni, hivyo watahitaji mishahara kupitia hiyo 42% iliyobaki, zitahitajika Kumaintaine ofisi katika hiyo 42% na RUNNING COST zingine zote zitatoka kwenye Hiyo 42% unataka kusema katika 60%, PROFIT MARGINE YA WCB Ilikuwa kiasi Gani? Wenye Kampuni wanaelewa nini Nasema au Walio wahi kusimamia Kampuni… Kumbuka Muda Huo Harmonize Yeye Kachukua 40% yake Kaweka Mfukoni. Kama Ilikuwa Ni Show imeandaliwa na WCB As Compny Itagharamika Usafiri, Mavazi na Malazi Ya Msanii kwenye hiyohiyo 42% baada ya VAT Ambayo HARMONIZE ALIKUWA ANALALAMIKA ANANYONYWA. So hii ISSUE inahitaji Kuwa Knowledge ya Biashara Kuelewa COST PER UNIT + RUNNING COST Vs 40% ambayo bila makato inaenda Direct kwa Harmonize. SWALI JE 600M Ni Kubwa?

5. Tunafichwa na Mwamvuli wa Umaskini Kuamini 600M ni Kubwa Lakini Ukiangalia Walicho Spend na Faida Iliyo tengenezwa Utaona Kwa namna Gani Kumsimamia Msanii ni Gharama. Label Ngapi zimevunjika? Label Ngapi Zimeshindwa kuwasimamia Wasanii? Kuwa Na Kampuni ni Stress ndio Maana Kuna Muda Nikisikia Diamond Anatumia Madawa Ya kulevya, Naelewa Ni STRESS kiasi Gani Anapitia Kuhakikisha Kampuni Inaenda. Tunaona Matajiri Wakubwa Wakiingia kwenye matumizi ya pombe kupita kiasi na Bangi kwasababu Ya stress za Kumanage Kampuni.

6. Ukishakuwa Na MKATABA na Kitu Fulani, Tafsiri Yake ni Kuwa Mmetoa Masuala ya Mahusiano na Mmeweka MAANDISHI YAONGEE. Ndio Tafsiri ya Mikataba. Kuna Sheria Tanzania Ambayo Inasimamia MIKATABA YOTE TANZANIA, Hata Mkataba Ulio pewa wakati unaajiriwa unasimamiwa na Sheria ya Mikataba Tanzania. Kitendo cha Ku sign mkataba Kinatafsirika Kama Umesoma na Kuelewa kile kilichopo kwenye Mkataba na SHERIA YA MIKATABA TANZANIA, Inalazimisha Mkataba wowote ule Kusema/ Kutaja Ukomo/Muda wa Mkataba. Sasa Kama Harmonize Either kwa Kuelewa Au Kutokuelewa akawa Alisign Mkataba Labda wa Miaka 15 kuwa Chini ya WCB then Baada Ya Miaka 5 anataka kujiondoa, Sheria Mikataba iko Wazi, Utalipia Miaka 10 iliyobaki. Tuseme Harmonize alikuwa Amepigiwa na Kampuni kila Baada ya Mwaka Anaingiza Faida Ya TSH millioni 60, kavunja mkataba ukiwa bado una miaka 10 inamaana Anapaswa na Sheria Inamtaka alipe Millioni 600 kuweza kuvunja Mkataba Au Na zaidi! Na Mikataba huwa wazi Hutaka kwanza Kufanya Mutual Agreement au pande moja Ilipie Fidia. So Harmonize Angekuwa na Mwanasheria Mzuri, Angepitia Mkataba na Kumshauri kuwa Bwana una Mambo Mawili, 1 vumilia Mpaka mkataba utakapo kuna kuisha Au 2. LIPA PESA YA MIAKA 10 Vunja Mkataba. JE, ILE SIKU ANAHOJIWA KUNA MWANDISHI YEYOTE AU MTU YEYOTE ALISHA WAHI KUMUULIZA HARMONIZE ULISIGN MKATABA WA MIAKA MINGAPI? Kwa Lugha Rahisi Angalieni Uhamisho Wa Wachezaji Mpira Wa Miguu Unavyofanywa mtanielewa kwenye Hili. Hata Nyie kama Kuna Mtu kaajiriwa na Una Mkataba Sheria Inasema Ukiacha kazi Ndani ya masaa 24 unapaswa kumlipa mwajiri wako Mshahara wa Mwezi 1 UKIELEWA HIVYO UTAELEWA KUWA MKATABA JAPO HATUJAUONA ILA HAUKUWA WAKINYONYAJI.

7. MWISHO

JAMANI TUKUBALIANE UKIWA CHINI YA KAMPUNI UNABEBA IMAGE YA KAMPUNI, Hivyo Kitendo Cha HARMONIZE KUFANYA SHOW Sehemu Yoyote ile Bila Ruhusa Ya Kampuni ni KUIKOSEA KAMPUNI YAKE, Na LAZIMA AELEWE DHAMANI YAKE, kwa Wakati ule WCB as Company ndio walikuwa Wanaelewa Dhamani Ya Harmonize Akisimama Kufanya Show, So ili Kujibrand na Kujipa Dhamani Huwezi shuka ovyo ovyo kwa Mashabiki kuwafanyia Show kisa Wamekushangilia so Hizo Millioni ngapi alizo lipishwa ilikuwa SAHIHI 100%, Tujiulize Mlisha Muona Wizkid Anaimba Imba Kwenye Harusi, Birthday, Viwanjani bila Show Maalumu? au Davido au Future au Msanii yeyote mkubwa Marekani? Kuna Muda hata Kwenye Interview hawaendi endi tuuu kisa Umeitwa, Hii yote ni Kujitengenezea Dhamani. Na ndicho walichokuwa wanafanya WCB kwa Wakati huo, Wewe Umeenda Taifa Kuangalia Mechi angalia Mechi maliza nenda, Kushuka Chini Kuimba kama Kampuni Ilikuwa Imepanga Next week Wakupe Show Je? WASANII WENGI WA TZ wanakosea Hapo kujishusha DHAMANI na Ndicho Anacholilia HARMONIZE ana Alicho Taka WCB wafanye.

NISEME TUU, HARMONIZE ALIBAHATIKA KUPATA KAMPUNI AMBAYO NAYO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WALIKUWA HAWAJUI DHAMANI ZAO. NASHANGAA HATA MANAGEMENT YA DIAMOND kwanini Inamuachia Diamond Anazurulula Ovyo ovyo na Kina Baba Levo na Juma Lokole, anaenda Ovyo ovyo kwenye Vishughuli visivyo na Maana kama Harusi Ni Kujishushia Dhamani JAPO WATU HUMU MUNAWEZA MSINIELEWE.

Ni Hayo tu
Angalia tena mahojiano usikie kwa mwaka aligharamikiwa nyimbo ngapi? Halafu uje na hizo gharama zako tena
 
1.pesa ya kuvunja mkataba ilitolewa na sayona crdb bank na jembe ni jembe sio kama tulivyoaminishwa kuwa sarah alihusika
2.diamondi ni mtu mwenye roho mbaya sana rejea kauli za ommy dimpoz,belle 9 ,shettah rich mavoko
3.rayvanny anavumilia kuwa wasafi hajui pa kuanzia kutoka tena kwa yeye wanaweza sema atoe bilion 1
4.bila amri ya magufuli diamond asingesaini kuvunja mkataba kwa wakati
5.harmonize mwaka wa 3 anaendelea kuwepo kwa game nje ya wasafi
6.kuna watu huwa wanalazimishwa kumsifia na kumpost diamond kila kukicha ama akiwa na jambo mfano jana amepostiwa na mama yake uncle shamte baba levo page ya wasafi
7.nyimbo zote nzuri za wcb mondi alikuwa analazimisha aweke mistari yake ili ikitoka ionekane yeye ndio ameibeba nyimbo wakati kiukweli sio sahihi alikuwa hatak kupotea masikion kwa watu
8.uchawi ni sehem ya maisha ya diamond
9.mameneja na ndugu wa diamond walichangia ugomvi kuwa mkubwa sana
10.mali tunazoaminishwa za diamond zingine hazina ukweli
Hii industry itachelewa kufikia mafanikio ya waliyonayo Nigeria. Najaribu kufikiri fund raising aliyofanya Davido kwenye mitandao ya kijamii namna wasanii na watu mashuhuri walivyomuunga mkono. Shida yetu wabongo uvivu wa kufikiri nakupenda faida mahali ambapo jasho halijatoka. Wasanii bado hali zao ni tete saana na hawazungumzi hilo.
 
Nadhani WCB as a brand lengo la Harmo lilikuwa kuwachafua...maana maelezo yake yako baised yanaangalia mabaya tu ya WCB as if ktk miaka aliyokaa pale alikuwa anapitia kipindi kigumu mwanzo mwisho. He acts like hakupitia good times pale.

WCB wafanye damage control watolee ufafanuzi some of the things ku settle down the dust...wasi hope tu kuwa hili nalo litapita...maana ni tope wamerushiwa..zitawatia doa.

Kwenye mazungumzo yake jamaa hakusema kuwa Label ilikujaje kujaje na hiyo figure ya 600M...hakusema uwekezaji aliofanyiwa ulikuwa wa kiasi gani ili watu wapime tofauti ya kilichowekezwa na alichodaiwa kulipa.

Yeye pia ana wasanii.....sijui anawakata asilimia ngapi kama anawafanyia everything...utakuta hazitofautiani sana na alikotoka.
Sidhani kama wcb wanaweza kumjibu mkuu.

Hata hivo jamaa hajawasa wao tu, kawasema watu kibao nje na ndani ya wcb kua ni watu waliomkunjia sana.

Na jamaa aliemuattack sana kwenye maelezo yake ni diamond, mwanzo nilidhani labda waliomzunguka mondi ndio wabaya wake kumbe jambazi mkuu ni mondi mwenyewe😂😂. Sema mwamba alichokosea ni kutumia silaha zake zote aisee kwa sasa akae kwa kutulia tu asubiri huruma ya wananchi.
 
Hakuna sehemu niliposema hiyo ni shida yangu,labda kama una njaa mkuu.
Naomba nikunukuu chief..

---> Nilichokisema ni swala la yéyé kujiita teacher wa Amapiano ilhali hiyo ngoma yote aliyoimba ni melody ya "Mang'dakiwe" kwa kila kitu.

Anyway labda nina njaa kweli aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom