Happy Birthday The Finest

Asante AshaDii keki yako imebaki Kongosho alikuwa aingie nayo mitini

Kama ipo kwa kongoshi sina wasi wasi, nitaipata... You do know she is my body guard eeh? lol
PA Sorry for missing your BIG Day. Hope it was a wonderful one.

AshaDii naomba nichakachue siredi hii
Mekumiss sana aise
Yaani naona nyota nyota nisipokuona
Ruta yuaja na mashairi
Kukuimbia wewe mwandani
Nasema lilo moyoni
Kukukosa ni kosa lenye utashi

Oh' R' I have missed you too dear, Pole hopefully hukuzimia tu Rocky mana bado we need you. Yaani Rutashubanyuma na MziziMkavu hawa kaka zangu wamenitag hizo threads, inatakiwa utulivu hadi kuweza pata nafasi ya kuzisoma tena. Hii tagging naona hakuna kupitwa hata kama haupo lol.

AshaDii nilikumiss sana ila nilifurahi kuona kwenye thread fulani RUSSIAn Roullete kasema u mzima ila umebanwa.....
Karibu tena

Yeah' am Good 52, Mambo tu yamenibana kiana.
 
Last edited by a moderator:
Oh' R' I have missed you too dear, Pole hopefully hukuzimia tu Rocky mana bado we need you. Yaani Rutashubanyuma na MziziMkavu hawa kaka zangu wamenitag hizo threads, inatakiwa utulivu hadi kuweza pata nafasi ya kuzisoma tena. Hii tagging naona hakuna kupitwa hata kama haupo lol.

Asante sana kwa uzima wako aise
Nilikukosa sana
Mpaka nimeenda kumkurupua PA alikokua akaja aise maana na yeye alipotea sana
Karibu sana dear
Be blessed a lot
 
afrodenzi it's high time she enjoys sometime with me as well umekaa naye vya kutosha...hahahaha..u'll miss her but she'll be back atakuwa anajua na kukwambia good morning
The Finest
hahahahahaha nahhh she is real annoying aee. but i LOVE her.. okay you can have Angel for 3 days only .. you happy with that arrangement ?
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Brother
Ninakuombea kwa Muumba Maisha Marefu
Yaliyojaa Uzima, Afya, Baraka na Furaha.

Happy Birthday yako imeleta baraka, hata wadogo zangu akina AshaDii na afrodenzi waliokuwa hawaonekani kwa kitambo wameibuka kutoka kusikojulikana. Ningetamani uwe unaadhimisha hii siku kila siku ili wasipotee sana. Anyway, nimepata wazo - ikitimia wiki mbili siwaoni nnakuanzishia uzi wa basidei. Asante sana Mr Rocky kwa kuanzisha huu uzi.

PS: I confess:
Nimechelewa kukutakia heri kwani jana niliamkia, nikashinda na kulala katika jukwaa lile la "Kuumisha kichwa", salama sikutoka na BAN - lol.
 
Asante mkuu MAMMAMIA..lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom