Happy Birthday The Finest

Happy birthday The Finest M/Mungu akujalie baraka tele na mafanikio mema kwa miaka ijayo wish all the best
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday The Finest. Me and my galfriends welcome you

to hang with us over the weekend. I gurantee you a Splendid Fun and Fullfillment.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho birthday zote zilizopita tuliwaandalia wahusika walau mbege...mbona kaka yangu TF hujaanda chochote??
Hebu watafute wataalamu wa maandalizi waje tupange utaratibu....usiwasahu wakata vitunguu na nyanya...
 
Last edited by a moderator:
Happy b day aisee..
mimi na my family ...which is big family by the way lol
tunakutakia maisha mareefu na furaha.....
 
alisema anataka sherehe yake ifanyike kwa mama muuza pale baresa-Manzese

wakaka mnafagia uwanja na kupanga viti, nimeshafunga turubai.

Kongosho birthday zote zilizopita tuliwaandalia wahusika walau mbege...mbona kaka yangu TF hujaanda chochote??
Hebu watafute wataalamu wa maandalizi waje tupange utaratibu....usiwasahu wakata vitunguu na nyanya...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom